Balozi Kayola awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Malawi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi.

Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi Kayola kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi.

eb548a62-6322-4e5b-8a13-e3a6f58a1dab.jpg

654af793-70ab-4b72-a262-905d23263338.jpg

1b68bb0a-476f-4b45-829f-61503f4e8883.jpg
 
Back
Top Bottom