Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Sera ya Nyerere ya kutuunganisha na Zanzibar ambayo raisi wa Zanzibar anakwenda China kuwauzia ardhi ya Tanganyika waliopewa kutunza ng'ombe kutoka Tanganyika kabla hawajawasafirisha kwenda Zanzibar kule Bagamoyo leo rais wa Zanzibar anakwenda kuingia ubia na nchi ya kigeni ardhi ya nchi nyingine ya Tanganyika..
Butiku haioni jinsi Nyerere ametuingiza watumwa wa wazanzibqri na Butiku alikuepo ktk sera hizo leo analalamika nini! Kosa waliofanya haioni?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Butiku haioni jinsi Nyerere ametuingiza watumwa wa wazanzibqri na Butiku alikuepo ktk sera hizo leo analalamika nini! Kosa waliofanya haioni?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app