Nehemiah Mchechu, Albert Chalamila, DC Joketi na Gerson Msingwa wanastahili kuingia Bungeni 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,331
9,750
Ndugu zangu watanzania,

Watajwa hapo juu Ni miongoni mwa watu ambao ningependaa kuona wakijitupa Majimboni kupitia Chama chetu pendwa Cha CCM kuomba ridhaa ya wananchi kuwawakilisha Bungeni na panapo majaliwa ya Mwenyezi MUNGU atoaye uongozi kwa mtu na kumpa kibali au kumuinua mtu mbele za watu wanaweza kuteuliwa hata uwaziri ,kwa kuwa naamini Wameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika maeneo yao ya kazi.

Nehemiah mchechu yupo kwa Sasa Hazina na amefanya kazi maeneo mengi Sana na Marais karibu watatu kwa awamu tofauti tofauti na katika nafasi mbalimbali alizopewa na kuaminiwa amefanya vizuri na kuleta matokeo chanya Sana,Ni kijana mwenye maono makubwa na weledi wa Hali ya juu Sana,anakwenda na wakati na mwenye mikakati na mipango ya yenye kiu ya kutaka kuona matokeo yenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge yanapatikana, Ni kiongozi mtulivu,mkimya,mwenye busara,msomi wa Kiwango Cha umahili,mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,Anajiamini kwa kile afanyacho na mwenye uzalendo kwa Taifa letu.

Huyu akiingia Bungeni atasaidia Sana kimawazo hasa katika masuala ya fedha, uchumi na biashara na anaweza kuwa kiungo muhimu Sana katika utunzi wa Sera nzuri zenye kuchochea secta binafsi na secta ya umma katika ukuaji wa uchumi wetu.

Albert Chalamila huyu wote tunamfahamu,Ni mwalimu kitaalumu,mtu mcheshi Sana, mnyenyekevu,mwenye uwezo wa kushirikiana na yeyote,mwenye kujiamini na kujishusha,mtu mwenye uwezo wa kuishi na kuelewana na hata vijana wa mitaani,mtu mwenye kipawa Cha uongozi,mzungumzaji mzuri na mwenye ushawishi na mwenye kujuwa azungumze Nini na yupo wapi na anazungumza na akina nani,msomi mzuri. Historia yake kiutendaji Ni nzuri tangia akiwa RC Mbeya,Mwanza ,Kagera na Sasa Dar.atafaa Sana katika kuwasemea wananchi na hata kuisaidia serikali ikiwa atapewa uwaziri.

Mwingine Ni DC Joketi,Huyu Ni binti na kijana mdogo Sana ambaye uteuzi wake kwa Mara ya kwanza uliteka mitandao ya kijamii na kuvuma Sana katika kurasa zote mitandaoni utafikiri mchezaji aliye twaa tuzo ya mchezaji Bora wa Dunia ,kila mtu akizungumza la kwake na kutoa maoni yake,Dada wa watu mwenye sura ya upole, ulimi wa ukarimu,macho ya huruma,sauti ya unyenyekevu,moyo wa upendo ,maamuzi ya kiuongozi,maamuzi ya hekima na busara ,mwenye kipaji na karama ya uongozi na mwenye vipaji vyake alianza kazi kwa Ari ,Kasi na nguvu ya kijeshi kwa mikakati na mipango ya ushindi mpaka kuwazima na kuwafunga midomo watu waliokuwa na hofu ya uteuzi wake.

Ndani ya muda mfupi aliinua Kiwango Cha Elimu kisalawe na kumfanya kila mtoto wa kike kuona shule Ni mkombozi na anapaswa kujiamini na kujiona anayo nafasi ya kufanya vizuri,wilaya nzima ikawa inasikika kwa mipango na miradi ya maendeleo tu,alichangisha fedha kutoka kwa wadau ili aweze kuwekeza kwenye Elimu ya mtoto wa kike,.aligeuka na kuwa mfano Bora kwa mtoto wa kike hasa wanafunzi ambapo wengi wakatamani kujibidisha na kufikia alipofikia yeye. Ni Dada msomi wa PSPA kutoka UDSM ,Aliyeiva kiuongozi na aliyelelewa vyema ndani ya jumuiya ya vijana wa CCM yaani UVCCM.

Kwa uwezo wake alio uonyesha ndani ya miaka hii itakuwa Jambo jema akiingia Bungeni kupitia jimboni au viti maalumu na akapewa hata uwaziri kwa kuwa Ni Dada mbunifu Sana,mwenye kupenda kazi yake ,mwenye kiu ya maendeleo Sana,mwenye kutaka kuona watu wanahudumiwa na kupata huduma iliyo Bora Sana, Ni Dada na kiongozi mwenye kuuchunga na kuudhibiti ulimi wake ,siyo mkurupukaji wala Mropokaji,siyo mwenye mihemuko Wala jazba,siyo mwenye hasira Wala kisasi. Ni Dada mwenye huruma kwa wenye shida na aliye tayari kumsaidia yeyote na anayefikika ofisini kwake kwa wenye shida.

Wa mwisho Ni Gerson msigwa,huyu wengi walimfahamu kwenye kampeni za mwaka 2015 za uchaguzi wa kihistoria na wa Aina yake,uchaguzi wa mbwembwe za kila aina,uchaguzi ulioteka vyombo vyote vya Habari vya ndani na nje ya nchi,uchaguzi uliyokuwa na Raha na ambao wengine wakipata ubunge na udiwani hata bila kutegemea,uchaguzi ulio isimamisha Dunia yote na kazi zake,uchaguzi utakaobakia historia katika maisha yetu watanzania kwa kuwa ndio ulikuwa mwisho wa nguvu na ushawishi wa upinzani hapa nchini na uliohitimisha safari za kisiasa na historia za baadhi ya wanasiasa hapa nchini kindoto,uchaguzi ambao watu walisalitiana Sana ndani ya vyama.

Huyu Ni mwana habari kitaaluma ambapo amewahi kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu na kwa Sasa ndio msemaji mkuu wa serikali nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Abbas ,amefanya kazi pia TBC.huyu Ni mwanahabari anayejiamini Sana anapozungumza,mwenye kufanya utafiti kabla ya kuzungumza,mwenye uzoefu na mambo ya serikali hasa kwa kuzingatia kuwa Ni msemaji wa serikali na hivyo ili uwe Bora katika eneo Hilo Ni lazima uzifahamu taarifa nyingi na mambo mengi Sana kitakwimu na hata kisera,maana huwezi ukasema kitu ambacho hukielewi,huna taarifa nacho,huna Takwimu na huelewi historia yake.ukiwa huelewi utafaya kazi ya kukalili na kukalilishwa tu na ukiulizwa swali nje ya kile ulicho kalili na kukalilishwa utajikuta unatoa macho tu na kupandwa na hasira na kujibu watu Kama kichaa au mlevi.

Huyu kwa uwezo wake wa kiuongozi na uzoefu wake Anastahili kwenda Bungeni kuwawakilisha wananchi na anaweza akabahatika kuteuliwa uwaziri kumsaidia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na chaguo la watanzania mpaka 2030.

Nitawaleteeni wengine ambao naona wanafaa kwenda Bungeni nikipata nafasi na muda, Nitawaleteeni Hadi Ambao nahisi wangefaa katika nafasi fulani fulani muhimu,Nitakuwa nawaleteeni mambo mazuri tu,endeleeni kutulia hapo hapo mlipo na kunifuatilia bila kuchoka kusoma.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
NILIDHANI UNA AKILI ZA KUKUTOSHA BADALA YA WEWE KUJIAMBIA UINGIE BUNGENI UNAWAAMBIA WENGINE NDIO WAINGINE WAJINGA TUPO WENGI SANA
 
Kwaiyo wewe hutaki kujiona mjengoni?
Mjengo wangu Ni shambani ili nyie wa mjini mpate chakula na Taifa letu Liwe na Amani na utulivu na Rais wetu aongoze kwa amani na utulivu ,maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula
 
Ndugu zangu watanzania,

Watajwa hapo juu Ni miongoni mwa watu ambao ningependaa kuona wakijitupa Majimboni kupitia Chama chetu pendwa Cha CCM kuomba ridhaa ya wananchi kuwawakilisha Bungeni na panapo majaliwa ya Mwenyezi MUNGU atoaye uongozi kwa mtu na kumpa kibali au kumuinua mtu mbele za watu wanaweza kuteuliwa hata uwaziri ,kwa kuwa naamini Wameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika maeneo yao ya kazi.
a na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Bungeni tuna watu wazuri sana kwa mfano Kimei ba wengine wana akili na maono lakini watu wakiingia mle huwa wanabadirishwa na kulazimishwa kuwa na mtazamo fulani ambao ukiangalia sana unafaidisha wachache au chama.
Unaijua party caucas weye?
Hata uwe na akili na maono mkiitwa kwenye hicho kikao inabidi muamue mambo bila kutumia utaalamu wenu.
 
Ndugu zangu watanzania,

Watajwa hapo juu Ni miongoni mwa watu ambao ningependaa kuona wakijitupa Majimboni kupitia Chama chetu pendwa Cha CCM kuomba ridhaa ya wananchi kuwawakilisha Bungeni na panapo majaliwa ya Mwenyezi MUNGU atoaye uongozi kwa mtu na kumpa kibali au kumuinua mtu mbele za watu wanaweza kuteuliwa hata uwaziri ,kwa kuwa naamini Wameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika maeneo yao ya kazi.

0742-676627.
Akili za matope hizi kudhani Bunge ni kazi ya kufa kupona
 
NILIDHANI UNA AKILI ZA KUKUTOSHA BADALA YA WEWE KUJIAMBIA UINGIE BUNGENI UNAWAAMBIA WENGINE NDIO WAINGINE WAJINGA TUPO WENGI SANA
Kwani ndugu yangu mtanzania unafikiri sisi sote watanzania Tunaweza kuwa wabunge? Sisi sote Tunaweza kuwa ma RC?au ma DC? Au ma DED? Au ma DAS? Au ma RAS? Nafasi za ubunge zipo ngapi?kwani nikisema na kumtaja fulani anafaa kuwa kiongozi kwenye nafasi fulani nakuwa nimezuia vipi mwingine ambaye sijamtaja kuwa kiongozi?
 
Ndugu zangu watanzania,

Watajwa hapo juu Ni miongoni mwa watu ambao ningependaa kuona wakijitupa Majimboni kupitia Chama chetu pendwa Cha CCM kuomba ridhaa ya wananchi kuwawakilisha Bungeni na panapo majaliwa ya Mwenyezi MUNGU atoaye uongozi kwa mtu na kumpa kibali au kumuinua mtu mbele za watu wanaweza kuteuliwa hata uwaziri ,kwa kuwa naamini Wameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika maeneo yao ya kazi.

Nehemiah mchechu yupo kwa Sasa Hazina na amefanya kazi maeneo mengi Sana na Marais karibu watatu kwa awamu tofauti tofauti na katika nafasi mbalimbali alizopewa na kuaminiwa amefanya vizuri na kuleta matokeo chanya Sana,Ni kijana mwenye maono makubwa na weledi wa Hali ya juu Sana,anakwenda na wakati na mwenye mikakati na mipango ya yenye kiu ya kutaka kuona matokeo yenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge yanapatikana, Ni kiongozi mtulivu,mkimya,mwenye busara,msomi wa Kiwango Cha umahili,mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,Anajiamini kwa kile afanyacho na mwenye uzalendo kwa Taifa letu.

Huyu akiingia Bungeni atasaidia Sana kimawazo hasa katika masuala ya fedha, uchumi na biashara na anaweza kuwa kiungo muhimu Sana katika utunzi wa Sera nzuri zenye kuchochea secta binafsi na secta ya umma katika ukuaji wa uchumi wetu.

Albert Chalamila huyu wote tunamfahamu,Ni mwalimu kitaalumu,mtu mcheshi Sana, mnyenyekevu,mwenye uwezo wa kushirikiana na yeyote,mwenye kujiamini na kujishusha,mtu mwenye uwezo wa kuishi na kuelewana na hata vijana wa mitaani,mtu mwenye kipawa Cha uongozi,mzungumzaji mzuri na mwenye ushawishi na mwenye kujuwa azungumze Nini na yupo wapi na anazungumza na akina nani,msomi mzuri. Historia yake kiutendaji Ni nzuri tangia akiwa RC Mbeya,Mwanza ,Kagera na Sasa Dar.atafaa Sana katika kuwasemea wananchi na hata kuisaidia serikali ikiwa atapewa uwaziri.

Mwingine Ni DC Joketi,Huyu Ni binti na kijana mdogo Sana ambaye uteuzi wake kwa Mara ya kwanza uliteka mitandao ya kijamii na kuvuma Sana katika kurasa zote mitandaoni utafikiri mchezaji aliye twaa tuzo ya mchezaji Bora wa Dunia ,kila mtu akizungumza la kwake na kutoa maoni yake,Dada wa watu mwenye sura ya upole, ulimi wa ukarimu,macho ya huruma,sauti ya unyenyekevu,moyo wa upendo ,maamuzi ya kiuongozi,maamuzi ya hekima na busara ,mwenye kipaji na karama ya uongozi na mwenye vipaji vyake alianza kazi kwa Ari ,Kasi na nguvu ya kijeshi kwa mikakati na mipango ya ushindi mpaka kuwazima na kuwafunga midomo watu waliokuwa na hofu ya uteuzi wake.

Ndani ya muda mfupi aliinua Kiwango Cha Elimu kisalawe na kumfanya kila mtoto wa kike kuona shule Ni mkombozi na anapaswa kujiamini na kujiona anayo nafasi ya kufanya vizuri,wilaya nzima ikawa inasikika kwa mipango na miradi ya maendeleo tu,alichangisha fedha kutoka kwa wadau ili aweze kuwekeza kwenye Elimu ya mtoto wa kike,.aligeuka na kuwa mfano Bora kwa mtoto wa kike hasa wanafunzi ambapo wengi wakatamani kujibidisha na kufikia alipofikia yeye. Ni Dada msomi wa PSPA kutoka UDSM ,Aliyeiva kiuongozi na aliyelelewa vyema ndani ya jumuiya ya vijana wa CCM yaani UVCCM.

Kwa uwezo wake alio uonyesha ndani ya miaka hii itakuwa Jambo jema akiingia Bungeni kupitia jimboni au viti maalumu na akapewa hata uwaziri kwa kuwa Ni Dada mbunifu Sana,mwenye kupenda kazi yake ,mwenye kiu ya maendeleo Sana,mwenye kutaka kuona watu wanahudumiwa na kupata huduma iliyo Bora Sana, Ni Dada na kiongozi mwenye kuuchunga na kuudhibiti ulimi wake ,siyo mkurupukaji wala Mropokaji,siyo mwenye mihemuko Wala jazba,siyo mwenye hasira Wala kisasi. Ni Dada mwenye huruma kwa wenye shida na aliye tayari kumsaidia yeyote na anayefikika ofisini kwake kwa wenye shida.

Wa mwisho Ni Gerson msigwa,huyu wengi walimfahamu kwenye kampeni za mwaka 2015 za uchaguzi wa kihistoria na wa Aina yake,uchaguzi wa mbwembwe za kila aina,uchaguzi ulioteka vyombo vyote vya Habari vya ndani na nje ya nchi,uchaguzi uliyokuwa na Raha na ambao wengine wakipata ubunge na udiwani hata bila kutegemea,uchaguzi ulio isimamisha Dunia yote na kazi zake,uchaguzi utakaobakia historia katika maisha yetu watanzania kwa kuwa ndio ulikuwa mwisho wa nguvu na ushawishi wa upinzani hapa nchini na uliohitimisha safari za kisiasa na historia za baadhi ya wanasiasa hapa nchini kindoto,uchaguzi ambao watu walisalitiana Sana ndani ya vyama.

Huyu Ni mwana habari kitaaluma ambapo amewahi kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu na kwa Sasa ndio msemaji mkuu wa serikali nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Abbas ,amefanya kazi pia TBC.huyu Ni mwanahabari anayejiamini Sana anapozungumza,mwenye kufanya utafiti kabla ya kuzungumza,mwenye uzoefu na mambo ya serikali hasa kwa kuzingatia kuwa Ni msemaji wa serikali na hivyo ili uwe Bora katika eneo Hilo Ni lazima uzifahamu taarifa nyingi na mambo mengi Sana kitakwimu na hata kisera,maana huwezi ukasema kitu ambacho hukielewi,huna taarifa nacho,huna Takwimu na huelewi historia yake.ukiwa huelewi utafaya kazi ya kukalili na kukalilishwa tu na ukiulizwa swali nje ya kile ulicho kalili na kukalilishwa utajikuta unatoa macho tu na kupandwa na hasira na kujibu watu Kama kichaa au mlevi.

Huyu kwa uwezo wake wa kiuongozi na uzoefu wake Anastahili kwenda Bungeni kuwawakilisha wananchi na anaweza akabahatika kuteuliwa uwaziri kumsaidia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na chaguo la watanzania mpaka 2030.

Nitawaleteeni wengine ambao naona wanafaa kwenda Bungeni nikipata nafasi na muda, Nitawaleteeni Hadi Ambao nahisi wangefaa katika nafasi fulani fulani muhimu,Nitakuwa nawaleteeni mambo mazuri tu,endeleeni kutulia hapo hapo mlipo na kunifuatilia bila kuchoka kusoma.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hapo walipo unaona hawatoshi? Kwanini hawatoshi? Wamekwambia hapo hawapataki? Kwamba hapo hawatumikii wananchi? Ujinga ukizidi unakuwa mpumbavu
 
Back
Top Bottom