Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 16 leo Mei 2, 2023.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali ipo kwenye hatua ya Mwisho ya kufungua Soko la Parachichi...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi...
Mh waziri
Elimu inabidi kufanyiwa maboresho katika maeneo muhimu kama haya
Wazazi wanabidi kushirikiana na walimu katika kuandaa ustawi bora wa watoto wao ikiwemo swala la shule ambazo ni day...
Mswahili alisema kuwa muda mara zote huwa ni hakimu mzuri.
Msanii Kipanya leo ametuletea mawazo na matamanio ya wabunge walioingia bungeni kwa hisani.
Wameanza kuweweseka kila kalenda inavyozidi...
MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji...
Waziri WyEST, yawezekana kanuni, taratibu na mifumo ya mitihani yetu ya Kitaifa haiwezi kufanya mtu aliyepata matatizo akapa namna nyingine ya kufanya kwa wakati hayupo sawa kuifanya mitihani...
Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Na Mwl Udadis, Morogoro
Uweledi wa kiongozi hupimwa kwa hatua na matokeo. Leo tukisherehekea siku ya wafanyakazi #MeiMosi hatuna budi kuangalia hatua alizochukua Rais Samia tangu alipoingia...
Serikali imeiwezesha Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Sh. bilioni 4.65 kununua vitendea kazi na ng'ombe wazazi ili kuboresha na kuongeza uzalishaji wa kampuni hiyo.
Hayo yamefahamika wakati wa...
Kwa maoni yangu yanayotokana na mashambulizi dhidi ya ofisis ya CAG, ni bora tuifute ofisi hiyo maana ni Kama inadharaulika.
Naomba nijadili matukio mawili ambayo yamesabaisha nifikie hitimisho...
Ilikuwa April 24,2021 katika fukwe za bahari ya Hindi huko Lindi. Jamaa hawa walikamatwa na zaidi ya tani moja ya dawa za kulevya,wakati huo kukiwa na tishio la Kimbunga JOB.
Mpaka leo sijui hii...
Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
Pamoja na Changamoto za kupanda kwa gharama za maisha na Mambo mengine,Serikali inajitahidi Sana kwa kutoa ajira rasmi kwa watanzania,tangu Mwaka huu uanze,Majeshi yote yametoa nafasi za kutosha...
Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu.
Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo:
Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko...
Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts.
Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya...
Siwatetei Wakoloni, lakini, nafikiri kulikuwa na umuhimu wa wao kutawala baadhi ya nchi kwa kipindi hicho, hasa za Kiafrika, kama walivyofanya. Walinufaika na rasilimali za Afrika, lakini Waafrika...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge...
Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya...
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa
Kila Mtanzania kwa sasa...
Asanteni baadhi ya watanganyika mmeanza kuelewa.
1. Mambo madogo yanakuwa makubwa, Ajira ni ngumu.
2. Awamu hii mpaka kujitolea /intern ulipa hela wewe unayejitolea.
3. Mazingaombwe ya Tanesco...