Habari wana JF,
Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara...
Katika kila jambo la kisiasa linaloendelea , ikiwemo mikutano ya hadhara , kampeni na Maandamano , huwa kuna vijimambo vinavyofanyika vya kusisimua sana lakini huwa havipewi nafasi na Waandishi wa...
Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike.
Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na...
Natoka tahadhari Kwa Bashe, Waliokuwhikia Bango Kwa hoja za kizushi na upuuzi ndio hao hao waliokuwa wamemshikia Bango Mwigulu, January na Nape.
Sasa wanaona kabisa unaenda kuwa threats Kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za...
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na...
Hamjambo Wadau.
Kwa miaka Mingi Mbeya ilikuwa inaonekana ni ngome ya Chadema na hii ilitokana na hisia za watu wa Mbeya kuhisi wanatengwa na Serikali ya ccm Toka zama za JK na chuki zikazidi zama...
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu...
Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka...
Akihutubia wakati wa maonesho ya Dubai Expo 2020 mjini Dubai, tarehe 26 Februari 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini.
Matokeo
Kituo cha Uwekezaji...
Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai...
VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna...
Ukimsikiliza waziri Bashe unagundua nchi hii tunarudia makosa yale yale ya siku zote na ni wagumu sana kujifunza kutokana na Historia. Bashe anazungumzia nadharia nzuri na maneno matamu sana...
Picha: Prof. Kitila Mkumbo
Habari Prof!
Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo...
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam
Msemaji wa Polisi...
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai...
Katika kipindi hiki ambacho tunakiita cha ukombozi kutoka katika udikteta wa miaka 7 tunachokiona ni Vyombo vya habari na waandishi wa habari kutuangusha kwa kujikita kwenye habari za kijinga na...
Nawasalimu wote.
CHADEMA tulikuwa na wabunge wengi kabla ya ukatili na chafuzi za yule mshamba, tukanyang'anywa kwa Hila, vipigo,vifo, vifungo na mateso.
Haya matatizo na uonevu tulifanyiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.