Bandari ya Dar es salaam, Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu...
Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa...
Siyo kawaida kukuta TBC, ITV, Channel ten, Star tv, Azam, Eatv, Upendo tv zinarusha mubashara tukio Moja
Ni Clouds tv pekee ndio hawakujishughulisha
Hakika Wafanyabiashara ni Jeshi kubwa!
ESTHER MALLEKO AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 16 Mei, 2023 Bungeni jijini Dodoma amechangia...
TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo...
Tuache siasa kwenye mambo yaliyotungiwa sheria na bunge na ambayo mtu binafsi kama waziri mkuu hawezi kuyatengua kwa maneno ya jukwaani bila barua au muongozo
Matamko ya waziri mkuu kassim...
Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya...
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
Nimefuatilia kikao kile, nimesikiliza hoja za wale wafanyabiashara, nikaona masikitiko yao. Lakini wakati wa kuagana na baada ya PM kuwa ameondoka jukwaa likavamiwa na wafanyabiashara waliojaa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema hali ya mfumuko wa bei wa Tanzania ni nafuu ukilinganisha na nchi nyingine Duniani ambazo bei za bidhaa mbalimbali hupanda kila baada...
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika.
Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma...
Habari Jf.
Hivi Tangu Tanzania ipate Uhuru Kuna viongozi wangapi wamejiuzulu nafasi zao pale wanaposhindwa kukidhi mahitaji?
Imekuwa kawaida sana kwa viongozi wengi katika nchi ya Tanzania...
Tulikua tukiishi katika nchi yenye umoja na kuvumiliana. Changamoto hazikuwahi kukosekana.
Watu waliuliumizwa sana, lakini kamwe waumizaji hawakusimama hadharani kushangilia au kujisifu, bali...
Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu...
Uendeshaji wa Nchi unaweza kuwa mgumu.sana ikiwa Kila anaelalamika itabidi asikilizwe na abembelezwe kiasi ya kutatiza mambo mengine.
Tukifika hapo nadhani Kutakuwa na hatari kubwa sana maana...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima.
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023.
WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI
Waziri wa Mambo ya Ndani...
CCM yafichua mpango wake wa kutawala mpaka 2100.
Na MwanaPuge.
Chama kinachotawala nchini Tanzania,CCM kimeweka wazi mpango na mkakati wake wa kuhakikisha inatawala mpaka mwaka 2100
na zaidi...
Uchambuzi wa Bajeti ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2023/24
Utangulizi.
Leo, tarehe 17 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaenda kuhitimisha mjadala wa bajeti ya waziri ya Elimu kwa...
Mgomo wa kariakoooooooooo Wewe somaji itikia Hiviiiii!
Mimi ndo LIdakitari lenye PHD Tanzania.
Hivi mbunge unakuja jimboni unaomba kura tunakuchagua au unatumia vyombo vya Dora kushinda unaenda...