Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha. Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amezungumza kuhusu mawasiliano yake ya simu kudukuliwa, huku akikiri sauti iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...
27 Reactions
307 Replies
50K Views
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amesema mh Membe alimuomba agombee Ubunge jimbo la Mtama mwaka 2010 lakini yeye alimkatalia na kumwambia anaenda kugombea Jimbo la Ubungo Baada ya uchaguzi mzee Membe...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Bernard Kamilius Membe, (born 9 November 1953- Died 12 May 2023) was a Tanzanian politician. He served as a Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015.He also served as a Member of...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za weekend wanajukwaa Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema...
42 Reactions
162 Replies
7K Views
Rais Samia kuwa makini na utoto wa Mongela na Chongolo Arusha Mjini Wanabodi leo acha niwape habari Arusha namna ambavyo Chongolo na Mongela wanavyoteseka kama nilivyotumiwana anaejiita mtumishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihutubia umati mkubwa wa wananchi kwenye Kata ya Igawilo, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji, Mfanyabiashara wa Kimataifa na Mfungwa wa kisiasa, baada ya kufungwa jela kisiasa kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni...
34 Reactions
4K Replies
358K Views
Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio. Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye...
8 Reactions
109 Replies
14K Views
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Mutungi amesema Ofisi yake imepokea maombi ya vyama vipya 18. Kati ya hivyo vyama 6 vimeshakidhi vigezo na kupewa Usajili wa Muda/awali. Mutungi amesema...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Narudia tena Watanzania ni Wanafiki sana wanajua mema na mabaya ila wanayaficha Moyoni.Wanasiasa msidanganyike na Maneno ya Watanzania fanyeni kilicho sahihi muingie mioyoni mwao. Bernard...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi...
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Kabla ya utekelezaji wa mkataba wa kufunga Ziwa Tanganyika, lazima tuyajue mambo kadhaa Kwa uhalisia wake. Mwambao mwa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Kata ya Kagunga( Mpakani) Mpaka Kata...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
PUSH UP ZA MAGUFULI ZILIANDIKWA MIAKA 2000 ILIYOPITA Kuna andishi la muda mrefu sana. Liliandikwa na Tulius Quintus Cicero zaidi ya 2000 iliyopita. Kwa Kiingereza linaitwa On Winning Election...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Kuna uwezekano mkubwa ikitokea Magufuli kwa bahati mbaya au CCM ikitumia umafia kuiba kura halafu ikaingia Ikulu atajikuta anapata wakati mgumu sana kuongoza. 1.Hana uwezo na busara za kiuongozi...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakati Rais Magufuli akiingia madarakani mwaka 2015 aliikuta jamii ya Watanzania wengi iliyokuwa imekata tamaa (A desperate society) kwa sababu ya ugumu wa maisha. Ugumu huo wa maisha...
20 Reactions
116 Replies
11K Views
Back
Top Bottom