Leo nimeshangaa Local channel zote za TV zimerusha mubashara Mkutano wa Waziri mkuu na Wafanyabiashara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Siyo kawaida kukuta TBC, ITV, Channel ten, Star tv, Azam, Eatv, Upendo tv zinarusha mubashara tukio Moja

Ni Clouds tv pekee ndio hawakujishughulisha

Hakika Wafanyabiashara ni Jeshi kubwa!
 
Siyo kawaida kukuta TBC, ITV, Channel ten, Star tv, Azam, Eatv, Upendo tv zinarusha mubashara tukio Moja

Ni Clouds tv pekee ndio hawakujishughulisha

Hakika Wafanyabiashara ni Jeshi kubwa!
Kero za hao wafanyabiashara Kariakoo ndiyo kero za walipa kodi wengi.
Kariakoo wameonyesha ujasiri wa kumwita hata Waziri Mkuu, big up.

TRA NI JIPU.
 
Back
Top Bottom