Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, naomba kukiri nimeandika thread hii, baada ya kuwa inspired na post hii ya mkuu huyu kwenye thread hii Udhaifu na unafiki wa vyombo vya habari! Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip ...
45 Reactions
184 Replies
29K Views
Wanabodi, Wenye access na TBC, angalieni live, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bennard Membe, ametoa msimamo wa Tanzania kuhusu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Libya, Col...
3 Reactions
395 Replies
41K Views
Mbunge Hamis Tabasamu wa Sengerema, Mwanza amesema ni sawa kwa ng'ombe wakike kuvalishwa hereni ikiwa wanataka wapendeze kama binadamu, lakini suala hilo kwa ng'ombe wa wakiume haliwezekani kwani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri. Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu...
29 Reactions
54 Replies
5K Views
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo...
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Mkurugenzi wa NEMC Samuel Gwamaka , amedai kwamba baada ya kudhibiti makelele kwenye maeneo ya Ulevi , sasa anaanza rasmi kampeni ya kudhibiti nyumba za ibada zinazopiga makelele . Tunamtakia...
15 Reactions
133 Replies
8K Views
Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya: Wamo CCM, Chadema Mbunge wa Nzega (CCM), Dk. Khamis Kigwangallah, amesema amepokea majina ya wabunge, viongozi wa serikali na...
6 Reactions
194 Replies
26K Views
1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu. 2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Membe alikuwa anapingana na maistream thought katika Chama. Alisema siyo sahihi kusema mtu akiwania urais katika Chama analeta factions katika Chama,na kama ukiiita 'faction' you do it for want...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa...
21 Reactions
574 Replies
91K Views
Katika mkutano na waandishi Leo, rais Dr. Magufuli alitoa moja ya madudu yaliyofanyika awamu iliyopita kwamba kuna makaburi hawezi kuyafukua kwa sababu atashindwa kuyafukia. Akasema kuna dola 20...
13 Reactions
296 Replies
33K Views
Nikikumbuka ile tabia yake ya kuwatoa kina Lukuvi na Kabudi wizarani na kuwapeleka ikulu, na jinsi ufisadi ulivyotamalaki kwa sasa naona connection ipo kwenye sababu ya kumpeleka Polepole Cuba...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Elva Johnson huyu ni waziri wa kazi za Sweden nchi inayoipatia Tanzania misaada ya mabilioni, hapa waziri huyu ametoka Bungeni kujibu maswali na kufanya kazi kisha anasubiria treni arudi kwake...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
9 Reactions
80 Replies
12K Views
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini...
19 Reactions
64 Replies
6K Views
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube. Swali langu kwa watanzania Membe...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wenzetu Kenya Siasa zao huzifanyia Makanisani na Misibani tofauti na Sisi bongo Uungwana wa Mbowe leo umemfanya apigwe picha kwa kila mtu aliyesimama naye kumsalimia pale Msibani Uungwana ni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato...
7 Reactions
106 Replies
6K Views
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona. Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom