Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Membe alikuwa na exposure na ndio iliyomfanya asiwe Mtu wa Kukasirika na wakati mwingine alipokasirika alionesha Tabasamu tu
Mbowe anasema pamoja na...
MEMBE NA KATIBU KATA KIJIJI CHA RONDO VIDEO CLIP YAO YAVUJA
Zaidi soma;
https://www.jamiiforums.com/threads/bernard-membe-sauti-iliyodukuliwa-na-kusikika-ni-ya-kwangu.1611933/
Kuliwahi kuzungumzwa sana tena hasa hapa JF kwamba Rais mstaafu wa wamu ya nne Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe ni Ndugu wa damu wengine wakidai Mama Salma Kikwete na Membe ni ndugu...
Hii ndio Taarifa Mpya kutoka kwenye familia yake , kama ilivyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Jaji Mustafa Ismail nyumbani kwake Mikocheni , Nje ya Jiji la Dar es salaam .
Imeelezwa kwamba...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi...
Chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha miaka 9 ya kuzaliwa kwake wakati huu ambapo kimekumbwa na misiba mitatu mikubwa ya waliowahi kuwa viongozi na wagombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania na...
Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi.
Ni lazima...
Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa.
Gharama kiasi gani zimepotea kuendesha kesi dhidi ya Mbowe? Kwanini...
Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha.
Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko
Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia...
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amezungumza kuhusu mawasiliano yake ya simu kudukuliwa, huku akikiri sauti iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amesema mh Membe alimuomba agombee Ubunge jimbo la Mtama mwaka 2010 lakini yeye alimkatalia na kumwambia anaenda kugombea Jimbo la Ubungo
Baada ya uchaguzi mzee Membe...
Bernard Kamilius Membe, (born 9 November 1953- Died 12 May 2023) was a Tanzanian politician. He served as a Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015.He also served as a Member of...
Habari za weekend wanajukwaa
Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema...
Rais Samia kuwa makini na utoto wa Mongela na Chongolo Arusha Mjini
Wanabodi leo acha niwape habari Arusha namna ambavyo Chongolo na Mongela wanavyoteseka kama nilivyotumiwana anaejiita mtumishi...
Akihutubia umati mkubwa wa wananchi kwenye Kata ya Igawilo, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji, Mfanyabiashara wa Kimataifa na Mfungwa wa kisiasa, baada ya kufungwa jela kisiasa kwa...
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea:
Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia...
Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni...
Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.