TAKUKURU ingieni kazini ili mjue sababu zilizosababisha taarifa kubwa ya Mkulima kuwashtaki wabadhirifu wa mali za umma waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 kutoripotiwa na vyombo vingi vya habari.
Majuzi Mkulima huyo alifungua rasmi shauri hilo na kutangazwa na Kituo cha TV cha ITV peke yake kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku lakini TV zingine zote zikaacha kutangaza habari hiyo kubwa yenye maslahi mapana ya Taifa.
Kwa upande wa magazeti ni gazeti la Nipashe na Habari Leo tu ndio yameripoti tukio hilo nini kiliwafanya magazeti mengine yasitangaze taarifa hiyo kubwa?
Sote tunatambua ni jukumu la kikatiba na kisheria kwa vyombo vya habari kuripoti taarifa zote zenye public intrest kama hizi za mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.
Mwisho TAKUKURU chunguzeni sababu za JAMBO TV kukata majina ya washtakiwa waliotajwa kwenye kesi hiyo.