Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge mwenye akili kubwa Jummanne Kishimba amewatolea uvivu Wataalamu uchwara wa Tanzania ambao wanataka kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria Kwa visingizio vya Samaki Kupungua. Amesema Samaki...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazee wa Rondo nyumbani kwao Membe wamesema wanaiomba Serikali iwatengee Muda mchache wa kusema maneno ya kimila yatakayosemwa kwa lugha ya Kimwera kumuaga Chifu wao Mwinyi Membe Wazee wamesema...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana! Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu...
1 Reactions
11 Replies
970 Views
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Habari mh Nape Nnauye ndiye atakeyezungumza kwa niaba ya Familia ya marehemu Membe kwenye Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Nape na Kasesela ni vijana waliokuzwa na Membe kisiasa na...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana. Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Kuna watu walifurahia kifo cha Rais wetu kipenzi Magufuli na kumsimanga. Ila kwa mema yake aliyolitendea Taifa watu wengi wanamtetea dhidi ya hao wabaya wake na wanajuta kwanini alifariki mapema...
5 Reactions
14 Replies
598 Views
Wewe ni mtu mnyenyekevu sana. Ndani na nje ya uongozi unaheshimu watu wote na unauzalendo wa kweli. Ni maombi yangu kwa mwenyezi Mungu akuinue zaidi uwe bora na mwenye kupendwa na watu wote...
2 Reactions
1 Replies
448 Views
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
by William Malecela on Saturday, May 14, 2011 Ni lazima tukubaliane kwanza kwamba watoto wa viongozi wa Tanzania ambao wengi wameanza kuingia kwenye siasa na kushika nafasi mbalimbali wana haki...
16 Reactions
386 Replies
35K Views
Lowassa aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA..... ,Babu Duni aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea...
18 Reactions
412 Replies
51K Views
Wanazuoni wanasema akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa. Tundu Lissu aliwambia CCM kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama, na wakimalizana na...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
- Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam...
14 Reactions
99 Replies
10K Views
KIFO CHA AKUKWETI,MIKAKATI YA LOWASSA,KARATA YA KIKWETE NA UTEUZI WA MEMBE. Habari za siku wasomaji wangu mnaofuatilia "series" yenye "episodes" zinazoelezea historia ya maisha ya kisiasa ya...
12 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko. Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais...
21 Reactions
76 Replies
7K Views
Samaleko Watanganyika! Leo nimeona nije na huu uzi kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini. Viongozi wanatuona kama Mazuzu kwa kutoa majibu mepesi mithili ya mshindo wa kwanza kwenye mambo...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Kada mkongwe wa CCM mzee Wassira amesema pamoja na ukweli kwamba Siasa za Tanzania ni za Unafiki lakini Membe hakuwa Mnafiki kabisa. Membe alisimamia alichoamini na hata wakati Ule alipopata...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom