Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
Acha unafiki,nyie si mlisema mkiwa green wote maendeleo chap chap?Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Wewe maendeleo huyaoni?Acha unafiki,nyie si mlisema mkiwa green wote maendeleo chap chap?
Huku kwa Chadema wafata nini,Kama wewe sio mnafiki,mbeya na mzandiki?
Nilijua watu watakua wachache Ila sio kwa uchache huuNyumbu hana mvuto!
Musiba Voice!
Shida kubwa chadema kwa sasa haieleweki wanapigania niniUkweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Uongo wa kitoto.....vumbi la wapi hilo.Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Nenda muda hii mwanga centa ukashuhudie nyomi unatuletea mapicha ya JanaNilijua watu watakua wachache Ila sio kwa uchache huu
wewe ni mjinga sana ! na unaitia aibu hata hiyo ccm , wewe ndio wanasema ni DC , kama ni kweli basi UDC itakuwa kazi ya kibwege sana !Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Huwezi kumtukana Magufuli Kigoma alafu ukabaki salamaUkweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Picha umepiga asubuhi Ebu leta ya muda huu.Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Tatizo Zitto kashindwa siasa za upinzani anasubiri kubebwa.Nyie watu wa ACT hamuoni aibu kupingana na wapinzani wenzenu?