Wizara ya Fedha, Wizara ya Biashara ndani ya coordinatiion failure

Michael Uledi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2023
Posts
132
Reaction score
323
Bandari ya Dar es salaam, Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu!

Kariakoo ingekuwa na mipango ya maana ya Serikali katika "revenue diversification" kwa kuangalia shughuli zingine ambazo zinaweza kufanyika sokoni pale labda leo Serikali ingekuwa haipati 400+M pekee kwa siku kama makusanyo ya kodi!

Tunahitaji "Kariakoo" nyingine pale Mbeya au Songwe ambayo ingeweza kuservice soko la Mikoa ya Mbeya,Iringa,Songwe,Njombe na Rukwa. Hakuna ambaye yupo serious na hilo!

Unahitaji "Kariakoo" nyingine Kanda za Ziwa Pale Mwanza ambayo ingeweza kuservice mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Mara na Kagera! Unahitaji Kariakoo nyingine ndogo pale Dodoma ambayo ingetoa huduma kwa mikoa ya Manyara, SINGIDA na Dodoma!

Hii ni kazi ya WIZARA ya Viwanda na Biashara,hauna viwanda vya maana basi wizara ingeweza kucapitalise soko la Kariakoo na kulidiversify kuwa soko kubwa zaidi ya leo!

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingeita wawekezaji wakubwa toka nje waje wawekeze kwenye biashara kwenye soko la Kariakoo na kulifanya kuwa soko la Maziwa Makuu na Soko la Kisini mwa Afrika!Mmelala hatari!

Ukishafanya "diversification "soko la Kariakoo maana yake unaactivate bandari ya Dar na unaactivate shughuli ndani ya border ya Tunduma-Nakonde,Kasumulu na hata kule Kasumbalesa!

Waziri Mwigulu Nchemba tumia PhD yako kuongeza revenue kwa kufanya diversification ya biashara zetu,bandari zetu na border zetu!Wizara ya biashara tokeni na Proposal za maana za kusaidia ukuaji wa biashara ndani ya Nchi hii baadala ya njie kuwa kikwazo kwa biashara!

Yaani kuna watu ndani ya Serikali hii wanatuchelewesha big time yaani!

Acha tulioko nje tuendelee kushauri wakisikia sawa wakigoma sawa tu!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Bandari ya Dar es salaam,Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu!

Kariakoo ingekuwa na mipango ya maana ya Serikali katika "revenue diversification" kwa kuangalia shughuli zingine ambazo zinaweza kufanyika sokoni pale labda leo Serikali ingekuwa haipati 400+M pekee kwa siku kama makusanyo ya kodi!

Tunahitaji "Kariakoo" nyingine pale Mbeya au Songwe ambayo ingeweza kuservice soko la Mikoa ya Mbeya,Iringa,Songwe,Njombe na Rukwa!Hakuna ambaye yupo serious na hilo!

Unahitaji "Kariakoo" nyingine Kanda za Ziwa Pale Mwanza ambayo ingeweza kuservice mikoa ya Tabora,Mwanza,Geita,Mara na Kagera!Unahitaji Kariakoo nyingine ndogo pale Dodoma ambayo ingetoa huduma kwa mikoa ya Manyara,SINGIDA na Dodoma!

Uko sawa ndugu yangu ila najaribu kuwaza wateja wengi wa kariakoo wanatoka mikoani ( kwa upo wangu) hivyo ukitawanya kariakoo nyingi ni kweli utakuwa umefanya jambo njema lenye faida kwa sehemu uliyojenga kariakoo mpya na hasara kwa kariakoo ya zamani
 
watu wenye ideas kubwa hizi mbona ampewagi nafasi jamani kila siku akili zile zile
ndio maana tumekwama mahali kama Taifa
 
Mwigu Hana PHD, Mwenye PhD halisi ni Dr Slaa, Dr Bashiru, Dr Mwakyembe, Prof Mwandosya nk nk.

Uliona wapi mtu mwenye PhD anaropoka?
 
Bandari ya Dar es salaam,Soko la Kariakoo Mpaka wa Tunduma ungeweza kutengeza almost robo tatu ya mapato ya Serikali kama tungekuwa na revenue strategist ndani ya Mawizara yetu tajwa hapo juu!

Kariakoo ingekuwa na mipango ya maana ya Serikali katika "revenue diversification" kwa kuangalia shughuli zingine ambazo zinaweza kufanyika sokoni pale labda leo Serikali ingekuwa haipati 400+M pekee kwa siku kama makusanyo ya kodi!

Tunahitaji "Kariakoo" nyingine pale Mbeya au Songwe ambayo ingeweza kuservice soko la Mikoa ya Mbeya,Iringa,Songwe,Njombe na Rukwa!Hakuna ambaye yupo serious na hilo!

Unahitaji "Kariakoo" nyingine Kanda za Ziwa Pale Mwanza ambayo ingeweza kuservice mikoa ya Tabora,Mwanza,Geita,Mara na Kagera!Unahitaji Kariakoo nyingine ndogo pale Dodoma ambayo ingetoa huduma kwa mikoa ya Manyara,SINGIDA na Dodoma!

Hii ni kazi ya WIZARA ya Viwanda na Biashara,hauna viwanda vya maana basi wizara ingeweza kucapitalise soko la Kariakoo na kulidiversify kuwa soko kubwa zaidi ya leo!

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingeita wawekezaji wakubwa toka nje waje wawekeze kwenye biashara kwenye soko la Kariakoo na kulifanya kuwa soko la Maziwa Makuu na Soko la Kisini mwa Afrika!Mmelala hatari!

Ukishafanya "diversification "soko la Kariakoo maana yake unaactivate bandari ya Dar na unaactivate shughuli ndani ya border ya Tunduma-Nakonde,Kasumulu na hata kule Kasumbalesa!

Waziri Mwigulu Nchemba tumia PhD yako kuongeza revenue kwa kufanya diversification ya biashara zetu,bandari zetu na border zetu!Wizara ya biashara tokeni na Proposal za maana za kusaidia ukuaji wa biashara ndani ya Nchi hii baadala ya njie kuwa kikwazo kwa biashara!

Yaani kuna watu ndani ya Serikali hii wanatuchelewesha big time yaani!

Acha tulioko nje tuendelee kushauri wakisikia sawa wakigoma sawa tu!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mwigulu is an Economist by professional but not an Economic Expert.
Hizi idea zinafanywa na Experts siyo hao wasomi wa darasani ambao hawajawahi kupractice taaluma zao.
 
Back
Top Bottom