Kwkao Zitto Kabwe, Sisi CHADEMA hatuna chuki na wewe

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,252
Reaction score
98,257
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika.

Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma nyumbani kwa kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO.

Kuwa na vyama vingi vya siasa siyo dhambi ndugu yetu Zitto tuvumiliane kaka maana wana Kigoma wana uhuru wa kuchagua wakipendacho.

Zito kumbuka hata wewe unazunguka nchi mzima kunadi Sera za chama chako.

Hongera sana wana cdm mkoani kigoma kwa kendelea kuiamini cdm.
 
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika.

Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma nyumbani kwa kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO.

Kuwa na vyama vingi vya siasa siyo dhambi ndugu yetu Zitto tuvumiliane kaka maana wana Kigoma wana uhuru wa kuchagua wakipendacho.

Zito kumbuka hata wewe unazunguka nchi mzima kunadi Sera za chama chako.

Hongera sana wana cdm mkoani kigoma kwa kendelea kuiamini cdm.View attachment 2626017
Na uhuru wa kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chadema upo?
 
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika.

Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma nyumbani kwa kiongozi mkuu wa chama cha ACT WAZALENDO.

Kuwa na vyama vingi vya siasa siyo dhambi ndugu yetu Zitto tuvumiliane kaka maana wana Kigoma wana uhuru wa kuchagua wakipendacho.

Zito kumbuka hata wewe unazunguka nchi mzima kunadi Sera za chama chako.

Hongera sana wana cdm mkoani kigoma kwa kendelea kuiamini cdm.View attachment 2626017
Kwani kigoma ni mali ya ACT?
 
Mbowe: ACt si mnajua ni vijana wetu?
 
Unampa umuhimu wakati.........dalali
 
Hawa ni vijana wetu hata mwami analijua Hiro hatuna chuki na mtanzania yeyote awe wa CCM dhamila zikifanana anakua ndugu njooni wote tuidai katiba mpya na tume Hulu ya uchaguzi.
 
Tatizo la Zitto ni ubinafsi sana
Kwenye politics .chama kuwa na political bases ni jambo la kawaida mf ccm ina bases mikoa ya pwani hususan Tanga. Political bases hazijengwi kwa fitina japo kwa mipango na mikakati mahususi. Binafsi namfahamu zitto tangu tukiwa UDSM japo alinitangulia. Siasa za zitto na mwigulu kama zinatofautiana ni kidogo sana. Wawili hawa waligawana njia tu lakini ni watumishi watiifu wa kitengo . Mwigulu yupo kwenye baraza kwasababu kumuacha nje ni hatari kuliko kuwa nae ndani ya baraza. Haya nilielezwa na veteran mkongwe kabisa wa ccm. Hembu jaribu kufikiria kwa kadhia ile ya kariakoo jana wale waliokuwa wanamshangilia bwana mwigulu ni kina nani haswa na walikuwa wanashangilia nn? Wale ni watu walipangwa na mwigulu ili kumpumbaza mama . Hizi ni siasa ambazo mwigulu alizifanya tangu akiwa mwanafunzi wa uchumi pale UDSM. Ilifikia wakati watu wanaenda kwenye mgomo mwigulu anapanda jukwaani bila kuonesha upande zaidi ya kuonesha mikono yake juu kwamba anaunga mkono kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom