Katika pita pita yangu huko twitter nimekutana na page ya Bernard Membe na kuna tweet yake akitoa maelezo kuhusu fedha za deni la Libya. Ikiwa na kichwa cha habari
Maelezo Kuhusu Fedha za Deni la...
Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu.
Pamoja na yote...
Awamu ya sita imefanya kikao cha wazi na wafanyabiashara pale Mnazi Mmoja na kamera za runinga zimeweka ushahidi wote hadharani. Hiki ni tofauti kidogo na kile kikao cha hayati JPM alichofanya na...
Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani.
Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya...
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea...
Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi...
Hii ilikuwa ni sheria Ugiriki ya zamani kwamba kama kuna mgogoro katika jamii halafu wapo raia wengine hawana interest, wanasubiri tu kupokea lolote litakalotokea, basi, wanapoteza haki zote ya...
Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu.
Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila?
Acheni maneno...
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo
Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo...
Jambo Jambo?
Wakati wa uzinduzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo yenye kilometa 217 na sehemu ya wasso -sale yenye kilometa 49 mhe.makamu wa raisi Dkt.Mipango amekabidhiwa kifimbo hicho...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Charles Rwechungura amemtangaza Harold Sungusia kuwa rais mpya wa Chama hicho baada ya matokeo ya uchaguzi, Huku...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na...
Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania
Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan...
Akizungumza na Wafanyabiashara wenzake wa Kariakoo, Ndugu Mbwana ambaye anatajwa kama kiongozi wa wafanyabiashara hao amewaasa Wafanyabiashara wote wafungue maduka yao kwa vile Waziri Mkuu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, yule Mwamba wa siasa za Tanzania na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, leo anapiga mikutano mitatu mfululizo kwenye Jimbo la Buyungu katika ili Operesheni...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo...
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi...
Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa?
Na je akibanwa? Tunatarajia...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , bado angali Mkoani Kigoma Kwenye ile Operesheni Kabambe ya Chama chake ya 255 , ambako leo amepangiwa kupiga mikutano mitatu mfululizo ya hafhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.