Ngunya1 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 785 Reaction score 1,364 May 18, 2023 #1 Kwema wabunge wa bunge la Tanzania naomba kufahamu Ndugai alipo sema tutapigwa mnada mlitaka ajiuzulu lakini Mwigulu Madelu mpo kimya huu sio unafiki?
Kwema wabunge wa bunge la Tanzania naomba kufahamu Ndugai alipo sema tutapigwa mnada mlitaka ajiuzulu lakini Mwigulu Madelu mpo kimya huu sio unafiki?