Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani. Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna...
39 Reactions
88 Replies
13K Views
Ilala inapaswa kupata Mbunge aliyebobea kwenye mambo ya Biashara Sugu wa Chadema na Vunjabei wa CCM karibuni Ilala Wakinga ndio wameijenga Makambako na sasa ndio wanaiendesha Kariakoo...
4 Reactions
6 Replies
942 Views
Kumekiwa na hili wimbi la watu fulani kufurahia wale mahasimu wao wanapopatikana na matatizo na kuzionyesha hisia zao mitandaoni ; jambo hili sio geni kabisa , nna hakika wote tuna maadui zetu ama...
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Ukisoma ibara ya 84 (1) ya katiba yetu inayotaja sifa za mtu kuwa mbunge na ibara ya 85 (1) ya katiba hiyo inayotaja sifa za mtu kuwa Naibu Spika, ni wazi katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Usiku huu Vijana wa Kitanzania wenye "Soft skills" najua muda huu wapo bize wakipiga pasi suti zao, wakibrash viatu vyao kwa ajili ya siku ya kesho kwenda kwenye Misa ya kumuaga legendary Bernard...
3 Reactions
4 Replies
992 Views
Unaweza kuta January Makamba anashambuliwa sana analaumiwa sana, au unakuta Mwigulu Nchemba hadi anatukanwa mara hafai, mara imepanda ikashuka. Kule Kariakoo wanalaumu TRA, wanalaumu sijui...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam, Habari toka nchini Afrika Kusini, zinasema, Katibu Mkuu wa Ikulu Mstaafu, Mzee Timothy Apiyo, amelazwa kwenye hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini. Mzee wetu huyu ambaye ni mjamaa...
1 Reactions
94 Replies
14K Views
Kariakoo ndio kitovu cha Biashara Afrika Mashariki hivyo ukikubalika Kariakoo wewe uko juu sana. Kuna tetesi Baadhi ya Mawaziri hawajafurahia Waziri mkuu Majaliwa kujizolea sifa lukuki Kariakoo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna kikundi kama kimepewa kazi ya kumhujumu waziri Makamba kila sehemu na hili bomba linaonekana kupasuliwa makusudi na mafuta ghafi kutililikia mashambani na kuzua taharuki. Hakuna mamalaka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka...
2 Reactions
9 Replies
983 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 26 leo Mei 16, 2023. WAITARA ADAI KUNA WATU WANAPIGWA RISASI HADHARANI TARIME Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Mwikwabe Waitara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa iliyotufikia hivi punde kwamba baba Mzazi wa Le Mutuz Nation amewasili Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba. Taarifa zinaonesha kwamba Mzee Malecela amewasili akitokea...
15 Reactions
109 Replies
20K Views
Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa...
0 Reactions
6 Replies
663 Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo. Tundu Lisu amesema anategemea...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
kiapo ni ahadi ya mwisho ya uaminifu wako,mala nyingi viapo huwa rahisi kuvitunza hasa pale unapokuwa ni mgeni kuingia katikati ya hicho kiapo, lakini kadri ya siku zinavyokwenda mtu anaweza...
3 Reactions
2 Replies
569 Views
Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa...
25 Reactions
291 Replies
18K Views
Back
Top Bottom