Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 17, 2023 ameongoza kikao cha Mawaziri wanaohusika na Michezo wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda ambao ni Mhe. Peter...
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui...
Tatizo kubwa la waziri wa f edha dk. mwigulu nchemba na waziri wa viwanda, dk. ashatu kijaji lina sababishwa na rais mwenyewe kwa maoni yangu.
Unawezaje kukaa na waziri ambaye alishawakashifu...
Nafikiri usiku wa leo Waziri wa Fedha Dr Mwigulu PhD atalala Kanisani huku akijitafakari sana
Wale Wafanyabiashara ni kana kwamba walimpania
Bado tuna safari ndefu sana!
Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote.
Ili kuleta amani ya...
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za...
Habari,
Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya...
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe.
Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata...
Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani?
Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana...
Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo.
Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni...
Habari za muda huu WanaJukwaa.
Najarbu kutafakari hii hamisha hamisha ya Wakuu wa Mikoa.. Inaonyesha udhaifu wa Katiba yetu
1. Hii hamisha hamisha ya hawa Wakuu wa Mikoa ina implications ktk...
Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara.
Huyo Champion wa siasa...
Inafahamika vyema, Dar es salaam ni miongoni mwa miji yenye hekaheka sana hapa Afrika.
Kila wakati, watu tunajihisi tupo nyuma ya muda au tunadaiwa kitu, hivyo kutupelejea kila wakati tuwe...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk...
Ukusanyaji kodi una Siri kubwa kwa sababu wanaotunga sheria za kodi ni Wanasiasa hao hao wanaojidai kuwatetea leo
Nilipenda sana ile kauli ya Shujaa Magufuli ya kupitisha gunia Moja Moja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.