benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,532
- 3,192
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Charles Rwechungura amemtangaza Harold Sungusia kuwa rais mpya wa Chama hicho baada ya matokeo ya uchaguzi, Huku nafasi ya Makamu wa rais ikichukuliwa na Aisha Sinda.
Kura zilizopigwa = 825
Kura zilizoharibika = Hakuna
Harold Sungusia kura=748
Reginald Shirima kura=77
NAFASI YA MAKAMU WA RAIS TLS
Aisha Sinda kura=527
Emmanuel Augostino kura=261
Revocatus Kuuli kura=32
Kura zilizopigwa = 825
Kura zilizoharibika = Hakuna
Harold Sungusia kura=748
Reginald Shirima kura=77
NAFASI YA MAKAMU WA RAIS TLS
Aisha Sinda kura=527
Emmanuel Augostino kura=261
Revocatus Kuuli kura=32