Iwekwe kanuni kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akiharibu katika awamu yake asikaribishwe kabisa kwenye hafla za kitaifa Wala kuonekana kwenye meza kuu.
Mtu kama amelitia taifa kwenye shida...
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais...
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari...
Jamaa yupo live ITV akiwa na kundi la askari polisi waliojihami kwa silaha za moto kwenye mitaa ya kariakoo wakipita vichochoroni mtaa kwa mtaa huku wakizungumza na wanyabiashara walio amua...
Kelele na sifa inazopewa Kariakoo sidhani kama ni kweli ndiyo sehemu inayotoa kodi kubwa sana kama ukizingatia vigezo vyote.
Ninaiona Kariakoo kama walivyosema kama shamba la bibi kwa watumishi...
Siku watumishi wote wa TRA wakigeuka wazalendo wafia nchi, wakafuata sheria za kodi kama zilivyo bila kupinda kushoto au kulia na bila kupepesa macho, amini nawaambia sisi wafanyabiashara wengi...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu Mei 16, 2023 Mtumba jijini Dodoma, ameongoza kikao kati ya Wizara yake na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambayo...
Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia.
Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani...
Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria?
Jambo kubwa...
Misiba na kunji la wafanyabiashara kariakoo limepooza ile jamba jamba iliyoletwa na NEMC wiki iliyopita. Kama ilivyoada na desturi sie great thinkers lazima tupate muda wa kudurusu zilizo kick na...
MBUNGE OLIVER SEMGURUKA AIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA HUDUMA ZOTE ZA AFYA MKOA WA KAGERA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera Mhe. Oliver Semguruka amechangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya...
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.
Ndege hiyo...
Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata...
Mhe. Rais tarehe 28.04.2023 nilikuandikia makala yangu niliyoipa jina la "Sikiliza mama", katika makala ile nilieleza namna ambavyo utawala wako umeshindwa kutatua kero na matatizo ya wananchi...
Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa naona ni mkakati wa Samia kujipanga na kujiimarisha kisiasa mifano miwili ni Chalamila kuja Dar es Salaam hii kwamba Dar es Salaam ya wafanyabiashara wakinga wengi...
Hakika Mungu hadhihakiwi!
Mungu sio Athumani!
Ni Kama Vile Mungu ameanza kuonyesha makasiriko yake dhidi ya dhihaka zilizofanywa kwa mtu aliewahi kutaka kuirudisha nchi yetu kwenye msitari wake...
Ni kweli kabisa wanasiasa akili zao wote zinafanana. Mwanasiasa siku zote yupo kwa ajili ya kutafuta maslahi yake na familia yake kwa kivuli cha kuwapigania wananchi ila muda huwa unawasuta...
Jiji la Dar es salaam linahitaji Viongozi aina ya Albert Chalamila wanaosema na kutenda siyo hao mapapaa.
Sisi Wahenga tunaupokea Uteuzi wa Rais Samia kwa mikono miwili.
Na yeye Chalamila...
Kwa Tanzania bila kutumia nguvu au kukata kodi kwa lazima hakuna ambaye yupo tayari kulipa kwa hiari
Ukiwauliza wafanyakazi kama kodi ya Pay as you earn(PAYE) ingekuwa unapeleka mwenyewe baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.