Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,444
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , bado angali Mkoani Kigoma Kwenye ile Operesheni Kabambe ya Chama chake ya 255 , ambako leo amepangiwa kupiga mikutano mitatu mfululizo ya hafhara kwenye Jimbo la Buhingwe .
Kwa mara ya kwanza nachukua nafasi hii kulioongeza Jeshi la Polisi Kigoma kwa kuepusha maafa , baada ya eneo la Mapokezi kuzidiwa na umati wa watu kiasi ambacho bila ulinzi imara wananchi wangeumizana kwa kukanyagana .
Kiukweli kabisa usiondoke JF , Maana kuna mengi mno yanakuja kutoka Kigoma .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app