TRA kamatieni hapo hapo,hao watu sio wa kucheka nao wote tunaishi mtaani ukidai risiti wanakuzungisha mara wasema network inazingua na blaa blaa kama hizo..
Mara kadhaa nimewahi kuwaambia Tumieni...
Siku zote kwenye hii mikutano ya CHADEMA kunakuwa na vijimambo vizuri sana nyuma ya Pazia , hebu fuatilia kisa hiki
Mtoto alipewa kuku na Mama yake ili amfuge, mtoto akaendelea kufuga kuku wake...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 31 leo Mei 23, 2023.
Wabadhirifu wa Dawa na Bidhaa za Afya Kushughulikia
Serikali imesema inachukua hatua mbalimbali...
First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA
First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA
The first Tanzanian received a certificate of origin yesterday to...
Na Mwl Udadis, Mtwara
Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na kampuni za Equinor & Shell yamekamilika kwaajili ya uwekezaji katika mradi wa gesi asilia, mradi wenye thamani ya Dola Bilioni...
Hizi ndio taarifa Kutoka Mkoani Katavi kwamba sasa Tundu Lisu na J J Mnyika watakuwa Kikosi cha Anga na Mwamba ataongoza Kikosi cha Ardhini
Siasa ni Sayansi, Siasa ni Mipango na Siasa ni...
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿
Julius Kambarage Nyerere.
1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli.
2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho.
3. Kiongozi aliyekuwa na...
Watanzania Wengi siyo wabobezi au wafuatiliaji wa Siasa hivyo hawanaga Muda wa kumfagilia Mwanasiasa yoyote
Hivyo kinachotokea ni kuunda Vikundi vya kusifu na kuabudu mfano ni hawa Chawa wa CCM...
Habari wadau wa siasa na masuala ya serikali.
Mada hapo juu imejidadavua vizuri.
Mwaka 2020 madarasa mawili yatahitimu shule za msingi. Yani darasa la sita na saba. 2021 form one zitakuwa mbili...
"Mahakama kuu masijala ya Moshi (Moshi Registry), imeruhusu shughuli za kilimo kuendelea kwenye shamba la kampuni ya Kilimanjaro Veggies inayomilikiwa na FREEMAN MBOWE Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani...
Mbunge wa zamani wa Maswa kupitia Chadema, aliyekihama chama hicho na kwenda kujificha ACT Wazalendo Leo Amerejea tena Chadema.
Marejeo hayo yamefanyika mbele ya Umati wa Wananchi kwenye Mkutano...
Katika wizara yake ufisadi umeenea kuanzia juu mpaka chini. Waziri anajua hachukui hatua kwa sababu alihusishwa. Bunge linasema, Rais yupo kimya. Nani anamlinda zaidi ya Rais mwenyewe. Kama Rais...
Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi.
Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora...
Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu,
Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati.
Freeman Mbowe, kiongozi hodari,
Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati.
Anapowatembelea watu, furaha...
Hicho Kijiji CCM ya Waziri Awesu ipo lakini wananchi kwa mapenzi mema wakawaomba CHADEMA wawafungulie mradi wao wa maji walioujenga wao wenyewe basi nawapongeza sana wanakijiji na CHADEMA.
Na...
Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma.
Pesa hizo zingetumika kuunda...
Wanabodi,
Kiongozi siku zote hawezi kutekeleza majukumu yake au ilani yake bila kushirikiana na taasisi mbalimbali serikalini. Hii ina maanisha kwamba mbunge yeyote lazima ashirikiane na madiwani...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anaheshimika Na kukubalika Sana na mamillion ya watanzania,ndio maana kila utakakopita mitaani unaona namna mh Rais anavyozungumzwa kwa mema,kila...
Jana mzee Wetu Malecela amewasili Dar kwa ajili ya msiba wa mwanae Le mutuz
Mzee Malecela ni Makamu mwenyekiti wa CCM mstaafu alistahili mapokezi yenye hadhi katika wakati huu mgumu
CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.