Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

Kwasenga

Member
Feb 24, 2021
50
52
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.

Ebu cheki barabara za Mbezi-Makabe, Mbezi-Mpigi magoe, Kibamba-Mpigi magoe. Hizi zote ni za TANROADS lkn hali yake ni mbaya kupindukia. Kuna hii yenye magari mengi ya abiria inayotoka mbezi mwisho kupitia machimbo kwenda mpigi magoe, hii ina daladala kubwa ambazo hupotea pindi tu barabara inapoharibika. Mfano sasa hivi iko hoi na hali ni mbaya haswa.

Wizara ya ujenzi kwa mwaka huu wa fedha haijaweka bajeti nzima kwenye mtandao, hata sababu hazijulikani. Labda tunaweza kuandika haya lakn bajeti imeziweka hizi barabara.

All in all hali si nzuri kwa barabara nyingi za Jimbo hili la Kibamba. Magari ya huku yakimaliza miaka miwili yanakuwa tayari ni skrepa.
 
Halafu sijawahi kumsikia mbunge wetu akizungumzia chochote kuhusu barabara za jimbo lake
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana...
 
Kwani si mlisema mnataka CCM ili maendeleo yawafikie wananchi....kwa taarifahuku kuanzia balozi....mwenyekiti serikali za mitaa, madiwani, mkurugenzi, Dc na mbunge Hadi mapolisi ni CCM
 
Ni aibu sana kwa halmashauri na wizara ya ardhi hawajaweza kutenga maeneo ya ya hifadhi za barabara za mitaa, sijui wanafikiria nini hawa watu!! Kutwa siasa tu!! Tarura na mkurugenzi amkeni
 
Raia mwema imethibitisha ubovu wa barabara ya mbezi mwisho mpaka mpigo magoe kupitia machimbo. Hali ni mbaya mno mno tena mno. Tanroads wanaona kama barabara hii haiwahusu. Daaaaah!
 
Alishazungumza sana we mwehu...
fatilia hotuba ya mwisho ya JPM wakati anazindua stand mpya Dar
Mwehu mwenyewe. Haya kuna lami gani imewekwa Mpiji Magohe, Msakuzi, Msumi, Makabe na kwingineko. Mwehu plus plus kabisa wewe tena aibu zako.
 
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.

Ebu cheki barabara za Mbezi-Makabe, Mbezi-Mpigi magoe, Kibamba-Mpigi magoe. Hizi zote ni za TANROADS lkn hali yake ni mbaya kupindukia. Kuna hii yenye magari mengi ya abiria inayotoka mbezi mwisho kupitia machimbo kwenda mpigi magoe, hii ina daladala kubwa ambazo hupotea pindi tu barabara inapoharibika. Mfano sasa hivi iko hoi na hali ni mbaya haswa.

Wizara ya ujenzi kwa mwaka huu wa fedha haijaweka bajeti nzima kwenye mtandao, hata sababu hazijulikani. Labda tunaweza kuandika haya lakn bajeti imeziweka hizi barabara.

All in all hali si nzuri kwa barabara nyingi za Jimbo hili la Kibamba. Magari ya huku yakimaliza miaka miwili yanakuwa tayari ni skrepa.
Mbuñge wenu haoni? Alileta hoja Bungeni Mstaafu alimwambia Pesa ya tz iwekwe Picha ya 3. Naona hayo ndio Matatizo ya Kibamba. Pengine kwenu huko kuna freeways na Flyovers.
 
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.

Ebu cheki barabara za Mbezi-Makabe, Mbezi-Mpigi magoe, Kibamba-Mpigi magoe. Hizi zote ni za TANROADS lkn hali yake ni mbaya kupindukia. Kuna hii yenye magari mengi ya abiria inayotoka mbezi mwisho kupitia machimbo kwenda mpigi magoe, hii ina daladala kubwa ambazo hupotea pindi tu barabara inapoharibika. Mfano sasa hivi iko hoi na hali ni mbaya haswa.

Wizara ya ujenzi kwa mwaka huu wa fedha haijaweka bajeti nzima kwenye mtandao, hata sababu hazijulikani. Labda tunaweza kuandika haya lakn bajeti imeziweka hizi barabara.

All in all hali si nzuri kwa barabara nyingi za Jimbo hili la Kibamba. Magari ya huku yakimaliza miaka miwili yanakuwa tayari ni skrepa.
Bwana Mtemvu wewe ndo mbunge wa kibamba jenga barabara ya Mbezi kwenda Msumi kaka vinginevyo tusilaumiane.
 
Mwehu mwenyewe. Haya kuna lami gani imewekwa Mpiji Magohe, Msakuzi, Msumi, Makabe na kwingineko. Mwehu plus plus kabisa wewe tena aibu zako.

Mkuu miaka miwili yote hukuwa na bando la kumjibu ndio umepata leo?
 
Asee nimepita kitunda msongola had mbande ni nomaaaa sijui kama maeneo hayo yana mbunge asee ni mahandaki full na ndo ilala Iyo yaan jiji lenyewe yaan
 
Back
Top Bottom