Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

wanzagitalewa

Senior Member
Jan 25, 2018
128
84
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM

Kwa ufupi

Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo

Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro

Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi wa fitna

IMEBAINIKA kuwa wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi za forodha za kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China na baadhi ya wanasiasa ndiyo waliokuwa chanzo kikuu cha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo, huku wafanyabiashara wadogo wakitumika kama chambo na vipaza sauti kuchochea mgomo huo.

Wafanyabiashara hao ambao wanaagiza mzigo mkubwa wa bidhaa kutoka China, Uturuki, Dubai na nchi nyingine huku wakikwepa kodi wakati wanaingiza makontena yao ya bidhaa kwenye Bandari ya Dar es Salaam, wamewachochea wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo kugoma ili kushinika Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) isiwabane kwenye ukwepaji wao wa kodi.

Baadhi ya wanasiasa nao wameshiriki kuchochea mgomo huo kwa maslahi yao binafsi ya pesa na kisiasa.

Hivi karibuni umetokea mgomo wa wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambalo ndiyo soko kuu la bidhaa mbalimbali za jumla na rejareja zinazouzwa nchini na hata kwenye baadhi ya nchi jirani.

Mgogoro huo ulisababisha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kutuma timu ya viongozi waandamizi, ikiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba, na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji.

Baada ya kikao cha wazi cha mawaziri na wafanyabiashara, Serikali iliunda kamati ya watu 14, ikijumuisha maafisa waandamizi wa serikali na wafanyabiashara ili kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo.

Hata hivyo, taarifa kutoka ndani ya soko la Kariakoo zimethibitisha kuwa wafanyabiashara wadogo wametumika kushiriki kwenye mgomo huo na wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza makontena ya bidhaa kutoka China na nchi nyingine ili kutengeneza mgogoro wa kisiasa.

"Kuna wafanyabiashara wanajulikana tangu enzi za Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete ambao walikuwa ni vinara wa kukwepa kodi kwa kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki na nchi nyingine ndiyo chanzo cha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo," kilisema chanzo kimoja cha habari.

"Wafanyabiashara hao vinara wa kukwepa kodi wamebanwa na TRA kwenye Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia, hadi makusanyo ya kodi yamevunja rekodi kwa kufikia wastani wa Shilingi trilioni 2 kwa mwezi ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru."

Baada ya kuona kuwa wamebanwa na TRA, hususan kwenye eneo la kudhibiti utozaji kodi wa makontena ya bidhaa kutoka China, na jitihada za kudhibiti maghala ya bidhaa kwenye maduka Kariakoo, wafanyabiashara hao wakubwa wakawachochea wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo waanzishe mgomo wao uliodumu kwa siku kadhaa.

"Kusema ukweli TRA imefanya kazi nzuri ya kuwabana wakwepaji kodi hawa wakubwa kwa kutaka kila kontena la mizigo linaloingia nchini lilipiwe kodi stahiki. Hizi vurugu zote tunazoona Kariakoo ni matokeo ya hawa wafanyabiashara wakubwa wakwepaji kodi kutaka kuzua taharuki ili TRA iache kuwabana," alisema mfanyabiashara mmoja wa Kariakoo.

Baadhi ya matatizo waliyolalamikia wafanyabiashara ni utitiri wa kodi na tozo za Serikali kuu na Serikali za Mitaa, viwango vikubwa vya kodi ya TRA, rushwa miongoni mwa baadhi ya watumishi wasiokuwa waaminifu wa umma wa TRA, TANROADS, LATRA na Polisi.

"Baadhi ya malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, ikiwemo kuombwa rushwa na watumishi wachache wa TRA wasiokuwa na maadili, viwango vikubwa vya kodi na utitiri wa tozo za Serikali za Mitaa yana hoja. Lakini nyuma ya pazia waliochochoea mgomo huo ni hao wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza makontena ya bidhaa kutoka China na nchi nyingine," alisema.

Takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonesha kuwa kwa mwaka 2021 peke yake, Tanzania iliingiza bidhaa zenye thamani ya karibu dola za Marekani Bilioni 2.7 kutoka China, ambayo ni sawa na Shilingi trilioni 6.5, huku sehemu kubwa ya mizigo hiyo kutoka China ikiwa ni bidhaa zinazouzwa kwenye soko la Kariakoo.

"Lengo la wafanyabiashara wakubwa hawa ambao ni vinara wa kukwepa kodi ni kuchochea mgomo wa wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ili kuishinikiza Serikali iwaagize TRA waache kuwabana wakwepa kodi hawa kwenye mamia ya makontena ya bidhaa kutoka nje ambayo wanaingiza kila mwezi na kwenye maghala yao ambayo wanayatumia kukwepa kodi," alisema muuza duka mmoja wa Kariakoo.

"Tunaipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo kuhusu ukubwa wa viwango vya kodi na utitiri wa tozo kutoka manispaa, lakini tunaomba Serikali iwe makini na hawa wafanyabiashawa wakubwa wakwepa kodi wanaotaka kututumia wafanyabiashara wadogo kufanikisha ukwepaji wao wa kodi."
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-18 at 18.58.28.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-18 at 18.58.28.jpeg
    61.7 KB · Views: 3

Wahenga walisema Ukicheka na Nyani utavuna mabua !! Umakini unahitajika sana !!
 
Acha propaganda za kitoto dogo. Hapa ndio unaona umewapoteza watu maboya ile mbaya.
 
Hizi propaganda zako hazimake sense hata kidogo.

Umepoteza muda kiandika na watu pia wanapoteza muda wao kuusoma uzi huu
 
Post za changamoto za wafanya biashara zingependekeza ziandikwe na wafanya biashara wanaojua kinachoendelea kule na sio watu wengine waliojifungia ofisini na kuandika kama zile reseach za kujibia mitihani.....
Turudi kwenye mada; Hivi umewahi kujiuliza kwanini baadhi ya wafanya Biashara wengi kutoka mikoani iliyoko North wanakwenda kampala na Nairobi kufunga mzigo wa nguo na sio Kariakoo ambapo ni karibu?
Kama ni kweli wafanya Biashara wakubwa kariakoo wanakwepa kodi kiasi hicho huko Bandarini inamaana wangekuwa na uwezo wa kuuza bei nzuri pengine kuliko huko Uganda na Nairobi kitu ambacho hakipo; hivyo kuna tatizo ambalo hutulijui.....subiri wenyewe waseme.....

Kuna rafiki yangu alisajili bakery ya kuchoma mikate, baada ya miaka miwili biashara imekuwa ngumu anataka kufunga; huku TRA wamemletea kodi kubwa eti kwa kuwa biashara imekuwa?
aliomba sana bila msaada wa kueleweka (hasa kama hujui mtu huko). Sitaki kuelezea mwisho wake ila ......ni ngumu sana jamani....na waliojifungia ofisini kuandika makala hawawezi kuelewa.....
 
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM

Kwa ufupi

Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo

Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro

Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi wa fitna

IMEBAINIKA kuwa wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi za forodha za kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China na baadhi ya wanasiasa ndiyo waliokuwa chanzo kikuu cha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo, huku wafanyabiashara wadogo wakitumika kama chambo na vipaza sauti kuchochea mgomo huo.

Wafanyabiashara hao ambao wanaagiza mzigo mkubwa wa bidhaa kutoka China, Uturuki, Dubai na nchi nyingine huku wakikwepa kodi wakati wanaingiza makontena yao ya bidhaa kwenye Bandari ya Dar es Salaam, wamewachochea wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo kugoma ili kushinika Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) isiwabane kwenye ukwepaji wao wa kodi.

Baadhi ya wanasiasa nao wameshiriki kuchochea mgomo huo kwa maslahi yao binafsi ya pesa na kisiasa.

Hivi karibuni umetokea mgomo wa wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambalo ndiyo soko kuu la bidhaa mbalimbali za jumla na rejareja zinazouzwa nchini na hata kwenye baadhi ya nchi jirani.

Mgogoro huo ulisababisha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kutuma timu ya viongozi waandamizi, ikiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba, na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji.

Baada ya kikao cha wazi cha mawaziri na wafanyabiashara, Serikali iliunda kamati ya watu 14, ikijumuisha maafisa waandamizi wa serikali na wafanyabiashara ili kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo.

Hata hivyo, taarifa kutoka ndani ya soko la Kariakoo zimethibitisha kuwa wafanyabiashara wadogo wametumika kushiriki kwenye mgomo huo na wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza makontena ya bidhaa kutoka China na nchi nyingine ili kutengeneza mgogoro wa kisiasa.

"Kuna wafanyabiashara wanajulikana tangu enzi za Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete ambao walikuwa ni vinara wa kukwepa kodi kwa kuingiza makontena ya bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki na nchi nyingine ndiyo chanzo cha mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo," kilisema chanzo kimoja cha habari.

"Wafanyabiashara hao vinara wa kukwepa kodi wamebanwa na TRA kwenye Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia, hadi makusanyo ya kodi yamevunja rekodi kwa kufikia wastani wa Shilingi trilioni 2 kwa mwezi ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru."

Baada ya kuona kuwa wamebanwa na TRA, hususan kwenye eneo la kudhibiti utozaji kodi wa makontena ya bidhaa kutoka China, na jitihada za kudhibiti maghala ya bidhaa kwenye maduka Kariakoo, wafanyabiashara hao wakubwa wakawachochea wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo waanzishe mgomo wao uliodumu kwa siku kadhaa.

"Kusema ukweli TRA imefanya kazi nzuri ya kuwabana wakwepaji kodi hawa wakubwa kwa kutaka kila kontena la mizigo linaloingia nchini lilipiwe kodi stahiki. Hizi vurugu zote tunazoona Kariakoo ni matokeo ya hawa wafanyabiashara wakubwa wakwepaji kodi kutaka kuzua taharuki ili TRA iache kuwabana," alisema mfanyabiashara mmoja wa Kariakoo.

Baadhi ya matatizo waliyolalamikia wafanyabiashara ni utitiri wa kodi na tozo za Serikali kuu na Serikali za Mitaa, viwango vikubwa vya kodi ya TRA, rushwa miongoni mwa baadhi ya watumishi wasiokuwa waaminifu wa umma wa TRA, TANROADS, LATRA na Polisi.

"Baadhi ya malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, ikiwemo kuombwa rushwa na watumishi wachache wa TRA wasiokuwa na maadili, viwango vikubwa vya kodi na utitiri wa tozo za Serikali za Mitaa yana hoja. Lakini nyuma ya pazia waliochochoea mgomo huo ni hao wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza makontena ya bidhaa kutoka China na nchi nyingine," alisema.

Takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonesha kuwa kwa mwaka 2021 peke yake, Tanzania iliingiza bidhaa zenye thamani ya karibu dola za Marekani Bilioni 2.7 kutoka China, ambayo ni sawa na Shilingi trilioni 6.5, huku sehemu kubwa ya mizigo hiyo kutoka China ikiwa ni bidhaa zinazouzwa kwenye soko la Kariakoo.

"Lengo la wafanyabiashara wakubwa hawa ambao ni vinara wa kukwepa kodi ni kuchochea mgomo wa wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ili kuishinikiza Serikali iwaagize TRA waache kuwabana wakwepa kodi hawa kwenye mamia ya makontena ya bidhaa kutoka nje ambayo wanaingiza kila mwezi na kwenye maghala yao ambayo wanayatumia kukwepa kodi," alisema muuza duka mmoja wa Kariakoo.

"Tunaipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo kuhusu ukubwa wa viwango vya kodi na utitiri wa tozo kutoka manispaa, lakini tunaomba Serikali iwe makini na hawa wafanyabiashawa wakubwa wakwepa kodi wanaotaka kututumia wafanyabiashara wadogo kufanikisha ukwepaji wao wa kodi."
Kwani tisi haipo huko kwa wafanya biashara wakubwa?
 
Wewe ni mzalendo wa kweli ingekuwa karibu na Mimi ningekununulia cret la bia

Bianafsi nimefurahishwa Sana na taarifa yako
 
Back
Top Bottom