Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza mchakato mzima wa kuhamishia makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na mchakato wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma wakati wa uzinduzi wa...
1 Reactions
2 Replies
719 Views
Samahani Mimi binafsi naamini hii idea ya chadema ni nzuri katika kukimbiza maendeleo ya Tanzania. Japo wanaccm ni kama wanaipinga Kwa nguvu sana . Embu naomba tujadiri Kwa kina faida na madhara...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Ameandika haya Rais samia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter. Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya...
12 Reactions
99 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameitaka serikali kuwalipa Vijana waliojenga Ikulu ya Chamwino Dodoma Katika ukurasa wake wa twitter Godbless Lema ameweka clip ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Binafsi, kwa mtazamo wangu ukiachana na gharama kubwa za uendeshaji wa Serikali za majimbo kwa maana ya kwamba mpaka Serikali inaitwa serikali inakuwa ni mamlaka kamili yenye kujitegemea kwa kila...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuliko kuongeza Idadi ya Majimbo ya Ubunge kama yanavyoombwa na wabunge wa CCM ni heri kabisa ile Sera ya Chadema ya Serikali za Majimbo Kama uliliona Jimbo ni kubwa na Uwezo wako ni mdogo...
1 Reactions
4 Replies
813 Views
Leo nimefuatilia katika matangazo yenu kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Kwa asilimia kubwa mnajitahidi sana kutomtaja John Pombe Magufuli katika ujenzi huo wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma...
28 Reactions
85 Replies
5K Views
Baada Ya Safari Ndefu Ya Milima na Mabonde, Leo Ikulu Imezinduliwa Dodoma. Kwasababu sijaweza kwenda Dodoma, Nimekuwa nikifuatilia hili Jambo Kupitia Mitandao ya Kijamii na Blogs Mbalimbali...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wazee kwa vijana wamekubaliana kwa pamoja kuhusu Umuhimu na ulazima wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Ushahidi wa Jambo hili ulitbibishwa Jana Jioni huko Kibondo. Sent from my SM-J500H...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na...
2 Reactions
8 Replies
834 Views
Hii ni mara ya pili hawaonekani hadharani kulikoni? Mara ya kwanza ni kuagwa kwa mwili wa kachero mmbobezi Bearnad Kamilius Membe,huyo alikuwa ni swahiba wao mkubwa sana wa wazuri hawafi,nilijua...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nchi yetu imekuwa na Marais wachache tangu kupata uhuru hivyo ni rahisi kupima legasi zao mahususi kwa upekee wa kila mmoja Tukianza na Rais wa kwanza Mwl Nyerere anakumbukwa kwa mengi ila kwa...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Mhandisi Godfrey Kasekenya naibu waziri wetu wa uchukuzi na ujenzi sekta ya ujenzi. Jana ulikuwa unasain mkataba wa ujenzi wa barabara ya...
1 Reactions
0 Replies
956 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa na kujadiliana masuala...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma Haya ni matukio muhimu sana ya...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema alipotoka Jela asubuhi na Jioni kwenda Ikulu alimwambia Rais Samia " Wewe ni mwanamke, ni mama mlezi wa familia Usirithi Ukatili wa Mtangulizi wako" Mbowe...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom