Sera ya Serikali za Majimbo ni Bora kuliko Huu Utitiri wa Majimbo ya Ubunge unaoombwa na Wabunge wa CCM waliojaa hofu ya kushindwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kuliko kuongeza Idadi ya Majimbo ya Ubunge kama yanavyoombwa na wabunge wa CCM ni heri kabisa ile Sera ya Chadema ya Serikali za Majimbo

Kama uliliona Jimbo ni kubwa na Uwezo wako ni mdogo Kwanini Uligombea?

Mbona askofu Gwajima anahudumia Oysterbay hadi Mabwepande?

Tuache Ujinga

Waziri Hamza: Wale Watumwa dhaifu kutoka Uchagani na Kigoma waliuzwa pale pale Unguja
 
Hata ukiwa na sera ya majimbo bado utakuwa na majimbo na mabunge mawili ya kitaifa pia utitili wa ajira za kiutawala badala ya kufanya kazi

Sera ya majimbo inapendwa sana na Chadema pia wachaga kama wewe

USSR
 
na kama yataongezwa tutamwuliza wasira maoni yake juu ya hilo.
 
Kuliko kuongeza Idadi ya Majimbo ya Ubunge kama yanavyoombwa na wabunge wa CCM ni heri kabisa ile Sera ya Chadema ya Serikali za Majimbo

Kama uliliona Jimbo ni kubwa na Uwezo wako ni mdogo Kwanini Uligombea?

Mbona askofu Gwajima anahudumia Oysterbay hadi Mabwepande?

Tuache Ujinga

Waziri Hamza: Wale Watumwa dhaifu kutoka Uchagani na Kigoma waliuzwa pale pale Unguja
Rekebisha hapo,

Sera ya Serikali ya majimbo ni ya wananchi Si ya CDM,

Ushahidi ni Tume ya Mzee Warioba iliyozunguka Nchi nzima kukusanya maoni, wananchi ktk Kutoa maoni Yao, walitamka muundo wa Serikali ya majimbo.

Pole Kwa Tullii maana mawazo yake hayatofanikiwa.
 
Hata ukiwa na sera ya majimbo bado utakuwa na majimbo na mabunge mawili ya kitaifa pia utitili wa ajira za kiutawala badala ya kufanya kazi

Sera ya majimbo inapendwa sana na Chadema pia wachaga kama wewe

USSR
Na inachukiwa na watu wa mikoa ya wavivu kama wewe. Coz Kila kitu unategemea wenzako wafanye wewe unufaike. Tunarudishana nyuma
 
Back
Top Bottom