Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niliiona J J Mnyika alipotimba Morogoro shughuli haikuwa ya kitoto. Nimeona John Heche akiwa Kanda ya Ziwa, Kusini na sasa Nyasa anapata nyomi ya kutosha kabisa. Ila jijini Dar es Salaam CHADEMA...
0 Reactions
2 Replies
362 Views
Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji...
15 Reactions
78 Replies
8K Views
Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania. Mwaka...
2 Reactions
4 Replies
838 Views
Suleiman Mzee awaaga Watumishi wa Jeshi la Magereza, leo Agosti 4, 2022 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo, awaosia mambo kadhaa ya kuzingatia; Mosi, Pendaneni, Shirikianeni na muwe kitu...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa ni kijaribu kufanya utafiti juu ya jina la Ndumilakuwili kuwa ni nini. Ndipo nikaamua kutafuta picha yake. Nimevuta hisia zangu sasa mtu akiwa ndumilakuwili ni mtu wa aina...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Askofu Gamanywa amesema Wewe unayeogopa kufa unataka ufe mara ngapi? Kwani hapa duniani unachofaidi ni nini hasa zaidi ya kutenda dhambi na kuandamana na pepo wachafu Askofu amesema hata yeye...
18 Reactions
54 Replies
4K Views
Zamani Mtanzania alikuwa ana ya kujivunia. Tulikuwa tunaona raha tuendapo nje watu wakitusifia jinsi nchi yetu ilivyo na misimamo thabiti, siasa inayoeleweka, viongozi wenye taaluma, amani na...
1 Reactions
3 Replies
460 Views
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Kama una karama ya kutafsiri lugha utakuwa umenielewa vizuri. Kila kiongozi anayeongea anakuwa na lengo maalumu hakuna anayeropoka. Kwa mfano waziri wa fedha anasema Deni la Taifa ni Public +...
1 Reactions
4 Replies
390 Views
Wanabodi, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Hizi ni salaam zangu kwa wana jf wenzangu kuwa kwa mwaka 2016 na miaka ya nyuma, sote tumeshuhudia jinsi JF ilivyo na impact kwa mustakabali wa taifa hili...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda...
20 Reactions
257 Replies
21K Views
Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
Wakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanajua jinsi Tundu Lisu alivyopigwa risasi na nani hata yeye Tundu Lisu anajua jinsi alivyojitoa kafara na alivyopata ukilema wa maisha, yote hii sababu ya power, na ndiyo maana wanajitoa akili...
17 Reactions
174 Replies
6K Views
Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya...
7 Reactions
224 Replies
20K Views
Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Nikiwa mdogo mwaka 1986 jirani yetu ambaye alikuwa anakaa kwenye nyumba za msajili njia ya Sanawari. Alikuwa mpole, mrefu na anaonekana tofauti sana kulinganisha na vijana wengine pale. Mzee...
29 Reactions
78 Replies
7K Views
Tabia ya ubinafsi inaliua taifa. Mali ya taifa siyo ya mtu mmoja,siyo ya familia moja. Na watu wengine wanatuambia kwamba hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii wakati tunaona wao wenyewe ndio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom