Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Dalili hazionyeshi kabisa kama Freeman Mbowe anajiandaa kustaafu Dalili pia hazionyeshi kama baada ya Halima Mdee kuasi Mbowe aliandaa mtu mwingine wa kumrithi kama Mwenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
5 Replies
515 Views
Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
0 Reactions
3 Replies
551 Views
Kama tulivyowaambia hapo awali , kwamba hii Operesheni ya Chadema ni ya nchi nzima , tena ni ya bila kukoma , yaani ni mfululizo hadi Katiba mpya imepatikana. Hapa ni kata ya Lupembe huko Njombe...
2 Reactions
10 Replies
633 Views
Ni Ushauri mdogo tu kwa Mwanayanga mwenzangu Dr Mwigulu PhD kwamba hii tekiniki ya " Kupendwa" kwa CCM ya sasa hautatoboa JK aliitumia na Nusura achemke sema tu yeye anapendwa kiukweli yaani...
3 Reactions
8 Replies
736 Views
Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba pamoja na migomo ya Wafanyabiashara wa Kariakoo inayoendelea huko Dar es salaam, huku Kigoma Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kinazindua Operesheni...
15 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni mchumi nguli aliyesoma vyuo vya ndani na nje kimataifa. Ana uzoefu mkubwa kuanzia ukufunzi wa uchumi chuo kikuu, naibu katibu mkuu wizara ya fedha, katibu mkuu wizara ya biashara na uwekezaji...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Watanzania tuna changamoto nyingi sana lakini umbeya na majungu nahisi ndo mambo yanayokitafuna sana Taifa hili. Katika kuchoka kwangu Jana na leo nahisi nimesoma karibu kila ujinga na hoja...
1 Reactions
4 Replies
630 Views
Uzi wangu unabebwa na kichwa Cha habari kwenda Kwa charamila je ni haki?
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu. Hii kitaalam inaitwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo. Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji wa Mahakama ya Rufaa wafuatao: - Amemteua Jaji Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Kwanza pole kwa msiba pia nikupongeze kwa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza Taifa. Kufuatia msiba wa Malkia. Langu Ni makaribisho nchini kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti baada ya shughuli za...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa...
1 Reactions
2 Replies
622 Views
Sakata la Kariakoo limeonyesha wazi namna nchi inavyonuka rushwa za waziwazi. Hii ni sehem moja tu iliyomulikwa na inaonyesha watumishi wa umma has TRA na FORODHA wanavyokula kwa urefu wa kamba...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Ningependa kutoa ushauri wangu juu ya tathmini fupi nilioifanya kwa macho na kwa kutafakari juu ya baadhi ya idara mbalimbali hapa nchini. 1. Nikianza na TISS ningependekeza kuwe na idara mbili...
2 Reactions
7 Replies
849 Views
Back
Top Bottom