Tundu Antipas Lissu hajashiriki uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,048
142,159
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma

Haya ni matukio muhimu sana ya kuhudhuria wakati Huu wa Maridhiano, Chadema mnafeli sana

Sabato Njema!
 
Sijamuona mh Tundu Antipas Lisu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma

Haya ni matukio muhimu sana ya kuhudhuria wakati Huu wa Maridhiano, Chadema mnafeli sana

Sabato Njema!
Rais wa 2030? Ngoja walinda legacy waje...
 
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma

Haya ni matukio muhimu sana ya kuhudhuria wakati Huu wa Maridhiano, Chadema mnafeli sana

Sabato Njema!

Hii inathibitisha kuwa Chadema wamekubali kuwa Rais Dkt Samia anatosha Hadi 2030.
 
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma

Haya ni matukio muhimu sana ya kuhudhuria wakati Huu wa Maridhiano, Chadema mnafeli sana

Sabato Njema!
takataka, kuzindua jengo eti ni tukio muhimu. CCM akili ndogo sana. Hivi na Sweden wana ujinga huo or for that matter developed countries
 
Sijamuona Tundu Antipas Lissu mgombea Urais wa Chadema kwenye uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino

Nilitegemea angetua na chopa kuhudhuria show na baadae angerejea Kigoma

Haya ni matukio muhimu sana ya kuhudhuria wakati Huu wa Maridhiano, Chadema mnafeli sana

Sabato Njema!
Tundu Lissu yuko kwenye kazi ya maana ya kuwafundisha Watanzania umuhimu wa kupata Katiba mpya. Huyu Lissu amejaa.sana akilini mwako.
 
Ni sawa tu kutoonekana, hii itamuongezea kukubarika zaidi, kuhudhuria hafla kama hizi kwa mtu kama yeye itamaanisha anaunga mkono Serikali iliyopo hivyo hata yale maneno yake ya kupinga ingeonekana ni kama unafiki.

Utawala huu kila kitu kwao ni kiki, wamegundua kuwa wanaumiza Wananchi hivyo ni mwendo wa kutengeneza propaganda kwamba wanakubarika na kuwatumia Wapinzani kama mtaji kwao eti kwa kigezo wameleta maridhiano ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom