Rais Samia - Ikulu ni ya kila Mtanzania

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Ameandika haya Rais samia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter.

Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii adimu na adhimu, miaka 50 toka Serikali ilipoweka azimio la kuhamisha Makao Makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma.

Ikulu hii ni kilele katika azma ya Serikali kuhamia Dodoma. Safari ya miaka 50 kufikia siku hii ni ya demokrasia kwani nia ya kuhamia Dodoma ilipitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973, baada ya kura ya maoni katika matawi yake nchi nzima. Safari hii ina mchango wa namna yake kwa kila awamu iliyowahi kuiongoza nchi yetu:

1. Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Alhaji Ali Hassan Mwinyi

3. Hayati Benjamin William Mkapa

4. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

5. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Ikulu ni ya kila Mtanzania, na kupitia sanduku la kura sote tunaamua nani wataingia katika kipindi fulani kukutumikia Watanzania wote. Ujenzi wa Ikulu yetu wenyewe kwa nguvu zetu, fedha zetu na utaalamu wetu ni moja ya shuhuda za uhuru wetu kama nchi.

Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma, na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.
 
Madam President katoa ujumbe mzuri sana nimeupenda sana hususani kipande hiki"....Hayati Magufuli ameandika hadithi yake.

Hii ni hadithi ni ya kwanza bado kuna hadithi nyingine nyingi sana uzinduzi wa mji wa mtumba, uzinduzi wa bwawa na umeme, uzinduzi wa SGR ,uzinduzi wa bomba la mafuta na mengine mengi. Hakika wasiompenda Magufuli watateseka sana.
 
Of what use ? Kwani hatukuwa na Ikulu?
 
Huu uongo ikulu ya kila mtanzania, ukitaka kupiga picha tu, utapata cha moto..

Mbona ikulu ya marekani ni kawaida hadi watu kupumzika kwenye bustani na kupiga picha?
 
Mama wa watu hana shida kabisa, kuna genge la watu ndio linataka kumgombanisha na wananchi.

Ila ana vijembe vya mafumbo huyo, yaani kwenye kutoa zawadi za mchango wa ujenzi wa Ikulu mwafulani hakumuona.
 
Madam President katoa ujumbe mzuri sana nimeupenda sana hususani kipande hiki"....Hayati Magufuli ameandika hadithi yake.

Hii ni hadithi ni ya kwanza bado kuna hadithi nyingine nyingi sana uzinduzi wa mji wa mtumba, uzinduzi wa bwawa na umeme, uzinduzi wa SGR ,uzinduzi wa bomba la mafuta na mengine mengi. Hakika wasiompenda Magufuli watateseka sana.
Mnaendeleaje hapo chattle mkuu!!
 
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 
Ameandika haya Rais samia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter.

Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii adimu na adhimu, miaka 50 toka Serikali ilipoweka azimio la kuhamisha Makao Makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma.

Ikulu hii ni kilele katika azma ya Serikali kuhamia Dodoma. Safari ya miaka 50 kufikia siku hii ni ya demokrasia kwani nia ya kuhamia Dodoma ilipitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973, baada ya kura ya maoni katika matawi yake nchi nzima. Safari hii ina mchango wa namna yake kwa kila awamu iliyowahi kuiongoza nchi yetu:

1. Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Alhaji Ali Hassan Mwinyi

3. Hayati Benjamin William Mkapa

4. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

5. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Ikulu ni ya kila Mtanzania, na kupitia sanduku la kura sote tunaamua nani wataingia katika kipindi fulani kukutumikia Watanzania wote. Ujenzi wa Ikulu yetu wenyewe kwa nguvu zetu, fedha zetu na utaalamu wetu ni moja ya shuhuda za uhuru wetu kama nchi.

Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma, na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.
Natumia walinda legacy sasa watatulia maana JPM ametajwa!!
 
Mtanzania popote ulipo jipige kifua sema tuna rais anayeliunganisha taifa

Rais Samia ni mtu kuna watu wanamshutumu Kikwete kutomuongelea Magufuli lakini niseme sio kazi yake

Kazi hii aliyetakiwa kuifanya ni Samia na kaifanya

Tuna rais pengine toka kuondoka kwa baba wa TAIFA huyu ndiye rais anayefuata kwa ubora

Mungu akupe Maisha marefu umejitahidi kuliunganisha taifa kwa sasa

Very objective hana hata tone la kashifa binafsi!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom