Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka 62 ya utawala wa CCM, ndo wameweza kujenga Ikulu moja tu. Sina kumbukumbu kama Kuna ofisi ya Mwenyekiti wa CCM wa Kijiji au mjumbe kumi waliwahi Jenga ofisi. Nijuavyo Mimi ofisi nyigi ni...
1 Reactions
3 Replies
551 Views
Ni nadra sana kuwakuta Watanzania wakijadiko Mafanikio Kwa perspective ya huduma au percentage wise ila wao wanataka vitu vya kuona Kwa macho kama structures mbalimbali. Si ajabu mtu anakwambia...
2 Reactions
15 Replies
730 Views
HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA. Leo 10:15hrs 21/05/2023 Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania, Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO. Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi...
39 Reactions
93 Replies
6K Views
Igunga, Tabora Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi...
0 Reactions
7 Replies
949 Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sengerema katika serikali ya awamu ya nne mheshimiwa WILLIAM NGELEJA huenda akachanga karata zake za ubunge katika jimbo hilo kwani viongozi wake wamerudi na wanalamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo. Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kwa niaba ya Wastaafu amemshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaalika kushuhudia uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma huku...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amewataka Watanzania waungane Ili kuiondoa CCM madarakani. Mbowe amesema Waliteswa, walipigwa Risasi, waliuawa na wengine wakafungwa Jela lakini walisimama imara...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani. Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema...
14 Reactions
123 Replies
8K Views
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni...
8 Reactions
345 Replies
12K Views
It is a very complex issue! Shida ilianzia kwa siasa - kukuza bunge ili kupata kura na kuunda serekali kuuubwa vyote vikitumia kiasi kikubwa zaidi cha pesa kujiendesha badala ya kufuta ujinga na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna msemo wa samaki mmoja akioza basi na wengine huwa na sifa ya kuoza. Najua wana CCM wengi kwa sasa wanaenda na upepo wa amani kulingana na mama Samia anavyo liendesha taifa kwa weledi. Ila...
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Kama unabisha tafuta Katiba ya CHADEMA uisome yote halafu tupe mrejesho. Wabunge wasio na chama bungeni ni zao la Katiba dhaifu ya chama cha Siasa. Rufaa kusikilizwa inachukua zaidi ya mwaka...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa ufahamisho, Dodoma ulitangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Tanzania na rais mwanzilishi Julius Nyerere mwaka 1973. Uamuzi wa kuhamisha makuu makuu Dodoma ulichukuliwa na Halmashauri ya TANU chini...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Vijana wa Boda Boda wameonekana wakihamasishana na kupishana milangoni katika ofisi za CCM Kutaka Kupewa Kadi za Uanachama,vijana hao wamekuwa wakizungumza waziwazi kuwa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wale wapenzi/wacheza Soka wanajua umuhimu wa "assists" kwenye mpira wa miguu! Ni wazi kuwa ushindi wa CCM mwaka 2025 unategemea sana miradi ya kimkakati ambayo inaendelea kwa sasa Nchini!Mradi wa...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Back
Top Bottom