Naipenda CCM, Mungu aibariki

Msema kweli mpenzi wa mungu,naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.Mungu ibariki CCM Mungu ibariki Tanzania.
Afadhali wewe umeweza kutambua faida za CCM na utawala wake.

Wenzako huko upinzani waliishia kupigishwa deki na Lowasa afu hela za ujio wa wake chamani akala Mbowe na genge lake bila kuwapoza na wao kidogo.

Juzi juzi walichangishwa pesa za kuwajazia boda boda mafuta ili wakampokea makamu, wakitarajia kuwa makamu amekuja na fungu kubwa la fedha kutoka ulaya.

Sasa cha kushangaza makamu kaingia mitini bila kuwachia chochote. Hadi wamechanganyikiwa.
 
Mkuu CCM ni chama chenye fadhila,nadhani mfumo wao wa uongozi unajitosheleza kuanzia ngazi ya chini mpaka juu
 
Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Ikizingatiwa mnarudishwa kwenye ujamaa vijijini a.k.a Gezaulole kupitia block farms za Bashe. Ajira nje nje.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Wewe ndiyo kati ya wale,siku CCM ikitoka madarakani,ndiyo mtajua kumbe duniani kuna jera na mateso
 
Back
Top Bottom