Mazuri ya Rais Samia tuyaseme kwa nguvu mabaya tumshauri taratibu safari ni ndefu sana

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.

Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha chuma bado ni mwanamke ila ndie Rais wetu.

Mama Samia hongera kwa kaz nzuri mambo mengine watanzania tutakuelewa baadae kama ambayo tuna funguka baada ya Magufuli kututoka.

Una lipambania Taifa na una nia njema japo wapo watakuona huna nia njema na Hilo ni muono wao ila unapambania watu wajamuhuri yako. Nakuona unaham Taifa liwe letu sote na tule cake yataifa sote. Hii ni nia njema japo sio sote tunaona. Wachache tunakupongeza.

Mh Rais pamoja na mazuri mengi unayafanya ila Kuna hisia hasi kuhusu mambo mengi ambayo hutokuwa wakwanza kuyafanya sema ni ile hali ya Uzanziberi. Mh. Rais harufu ya udini na Uzanziberi kwa sasa ndio Habari kidogo inavuma kwa speed ya upepo wa Catarina Yani Habari ya udini na Uzanziberi inaharibu mazuri mengi japo kila nikiangalia naona kama Sio wa kwanza hata Mwl. aliwahi ambiwa ameajiri wakatoliki well nivile utaliangalia nakulichukulia na kufanyia kazi.

Jambo la mwisho ni watu wako wakaribu kuonekana kukuchukulia poa sorry kutumia hii phrase ila namanisha uwajibikaji wa watumishi kidogo umelega japo naweza sema umelega kumbe una njia zako zakuwaadabisha.

Basi nikutakie majukumu mema na Kazi iyendelee kwa mkono wa Jamuhuri ya Tanzania.
 
 
Hongera Mkuu, niliona Jina lako kwenye ule Mkeka wa maDED (Joking).

Ni kweli kuna haja ya kumshauri ya hekima na adabu as ni President. Ila vizuri ajue kwenye swala la bandari ametuudhi wengi.

Bado ana muda wa kurekebisha, kama anaona huo Mkataba ni muhimu sana mwambie aweke time frame ya miaka 20 kuanzia badala ilivyosasa.
 
Mimi nadhani ushauri utakaomfaa ni akubaliane na nature kwamba jinsia yake haikuumbwa iongoze zaidi ya watu kumi tena kwa msaada wa mwanaume so mawazo ya kugombea 2025 aachane nayo arudi kulea wajukuu nyumbani.
 
Mimi nadhani ushauri utakaomfaa ni akubaliane na nature kwamba jinsia yake haikuumbwa iongoze zaidi ya watu kumi tena kwa msaada wa mwanaume so mawazo ya kugombea 2025 aachane nayo arudi kulea wajukuu nyumbani.
Sikubaliani na mawazo yako, mbona Queen Elizabeth Elen Jonhson Serlief Margaret Thatcher Farao Hatchepsut Farao Nefertiti waliongoza Mataifa yao.

Wanaume wengi ni wezi.
 
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Utakuwa mpole tu kenge wewe, siulisema ikifika mwezi wa nane utakiwasha??! Samia yupo hadi 2035 inshallah
 
Back
Top Bottom