Mpango wa Serikali ya CCM kujenga Barabara za njia Nne wateka mioyo ya Wana Mbeya na Songwe, waahidi kuipa CCM wabunge wote

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu watanzania,

Ni furaha,vicheko, Tabasamu,shangwe,nderemo na vifijo kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya na songwe baada ya kusikia mpango wa serikali yao ya CCM kuwajengea Barabara za njia Nne itakayofika mji wa Tunduma.mpango huu umegusa Sana mioyo ya watu wengi wa mikoa hii.

Wanasema kiukweli serikali ya CCM Ni sikivu sana kwa watanzania,Ni yenye mipango Bora na yenye tija kwa watu,Ni yenye kuwajali wananchi wake,Ni yenye kuwa na mikakati na mipango yenye kugusa maisha ya watanzania.ikumbukwe ya kuwa Barabara hii Ni muhimu Sana kwa kuwa inakwenda na Ni la lango la nchi za SADC ,Ni njia inayopitisha mizigo ya kila aina ,Ni njia ambayo IPO bize saa na muda wote.

Ni Barabara inayopitisha mazao ya kila aina kutoka mikoa ya katavi,Rukwa,songwe na Mbeya,,Ni pumzi ya wananchi huku,Ni Barabara muhimu Sana kiuchumi,hivyo kuijenga na kuipanua kiukubwa itachochea biashara za ndani na nje ya nchi,itaokoa muda wa kusafiri,itapunguza foleni,itapunguza ajari hasa zilizokuwa zinatokana na msongamano wa magari njiani unaopelekea baadhi ya madereva kutaka ku ovateki, wafanyabiashara wengi wa mataifa jirani watavutiwa kutumia na kupitishia bidhàa na mizigo yao bandari ya Dar kutokana na kuwa na uhakika wa kupokea bidhàa kwa uharaka.

Wananchi wameipongeza Sana serikali ya CCM pamoja na Rais Samia kwa namna anavyochapa kazi kwa uzalendo mkubwa Sana,wanasema watailipa na kuizawadia CCM wabunge wote wanaotokana na CCM kutokana na juhudi zao za kuwasemea na kuwawajibisha vyeme Bungeni tofauti na wale wa upinzania waliozoea mavurugu na usaka Tonge tu.

Kwa hakika Rais Samia Ni kiongozi mwenye maono makubwa Sana maana ameona na kutazama mbali Sana katika kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa kutoka nchi za SADC,ameona faida ambazo Taifa litapata baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Barabara hizo,kwa hakika Tanzania inaendelea kupendeza na kuvutia Sana.

CCM Itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi Sana, Itaendelea kuchaguliwa katika kila uchaguzi kwa kishindo, Itaendelea kuaminiwa na kukubalika na watanzania na Itaendelea kuwa chama kiongozi Tanzania na Barani Afrika kwa ujumla.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Kwa uchawa huu utasubiri sana na teuzi hupati ng'o.
Mzalendo gani wa kukaa anajikomba kila siku kwa wakubwa wa CCM.
 
Kwani hujapataga mganga wa kutibu haya malazi yako mukuu au wanataka uokote makopo wafulahi?
 
Kwa uchawa huu utasubiri sana na teuzi hupati ng'o.
Mzalendo gani wa kukaa anajikomba kila siku kwa wakubwa wa CCM.
Mimi naongea kuhusu namna wananchi wa mikoa ya Mbeya na songwe walivyo furahia mpango na mikakati wa serikali yao kuwajengea Barabara za njia Nne,zitakasaidia kupunguza msongamano,ajali,kurahisisha usafiri kwa haraka n.k.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni furaha,vicheko, Tabasamu,shangwe,nderemo na vifijo kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya na songwe baada ya kusikia mpango wa serikali yao ya CCM kuwajengea Barabara za njia Nne itakayofika mji wa Tunduma.mpango huu umegusa Sana mioyo ya watu wengi wa mikoa hii.

Wanasema kiukweli serikali ya CCM Ni sikivu sana kwa watanzania,Ni yenye mipango Bora na yenye tija kwa watu,Ni yenye kuwajali wananchi wake,Ni yenye kuwa na mikakati na mipango yenye kugusa maisha ya watanzania.ikumbukwe ya kuwa Barabara hii Ni muhimu Sana kwa kuwa inakwenda na Ni la lango la nchi za SADC ,Ni njia inayopitisha mizigo ya kila aina ,Ni njia ambayo IPO bize saa na muda wote.

Ni Barabara inayopitisha mazao ya kila aina kutoka mikoa ya katavi,Rukwa,songwe na Mbeya,,Ni pumzi ya wananchi huku,Ni Barabara muhimu Sana kiuchumi,hivyo kuijenga na kuipanua kiukubwa itachochea biashara za ndani na nje ya nchi,itaokoa muda wa kusafiri,itapunguza foleni,itapunguza ajari hasa zilizokuwa zinatokana na msongamano wa magari njiani unaopelekea baadhi ya madereva kutaka ku ovateki, wafanyabiashara wengi wa mataifa jirani watavutiwa kutumia na kupitishia bidhàa na mizigo yao bandari ya Dar kutokana na kuwa na uhakika wa kupokea bidhàa kwa uharaka.

Wananchi wameipongeza Sana serikali ya CCM pamoja na Rais Samia kwa namna anavyochapa kazi kwa uzalendo mkubwa Sana,wanasema watailipa na kuizawadia CCM wabunge wote wanaotokana na CCM kutokana na juhudi zao za kuwasemea na kuwawajibisha vyeme Bungeni tofauti na wale wa upinzania waliozoea mavurugu na usaka Tonge tu.

Kwa hakika Rais Samia Ni kiongozi mwenye maono makubwa Sana maana ameona na kutazama mbali Sana katika kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa kutoka nchi za SADC,ameona faida ambazo Taifa litapata baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Barabara hizo,kwa hakika Tanzania inaendelea kupendeza na kuvutia Sana.

CCM Itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi Sana, Itaendelea kuchaguliwa katika kila uchaguzi kwa kishindo, Itaendelea kuaminiwa na kukubalika na watanzania na Itaendelea kuwa chama kiongozi Tanzania na Barani Afrika kwa ujumla.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hatudanganyiki, rudusheni bandari yetu kwanza
 
Back
Top Bottom