Watanzania neema inakuja

Watanzania neema inakuja

Fukua

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
565
Reaction score
526
Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu Rais Samia.

Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.

Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, Watanzania wengi wataajiriwa, wataalamu wa Kitanzania wataongezeka mara dufu.

DP World ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote si wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
kwa ufupi Watanzania wote tunakwenda kuneemeka.

Hongera Rais wetu.
 
Wanao endesha bandari ni DP jee watoza ushuru nao TRA au hawahawa DP world??.
 
mi nasubiri tu iyo kazi wole wako nisiipate shwain zako
 
Tuachane na Neema na faida zote tunazopata juu ya huu mkataba,,, naomba tujikite kwenye mda wa mkataba

DP World watafanya kazi kwa mda gani?
Mda wa mkataba utajadiliwa kwenye mikataba midogo inayokuja soon,
 
Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.

Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.

Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.

Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.

Hongera raisi wetu.
Shame on you
 
Mda wa mkataba utajadiliwa kwenye mikataba midogo inayokuja soon,
Vp kuhusu hii kauli ya waziri?
Screenshot_2023_0610_210229.jpg
 
Hapo waziri amezungumzia makubaliano ya kushirikiana na SI mikataba itakayoingiwa
 
Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.

Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.

Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.

Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.

Hongera raisi wetu.
Lazima uwe punguani kuyaamini hayo.
 
Jinga mkubwa wewe, mbona bandari zenu za Zanzibar hazipo kwenye huo mkataba wa milele au nyie hamtaki faida?
 
Back
Top Bottom