Utegi-Farm shubiri kwa wakazi wa Rorya

WrestlerRSF254

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
1,199
2,003
Habari wanajamvi,

Tunaomba serikali ya awamu ya sita, chama tawala CCM, wanarorya wote, na mashirika yote ya kupigania haki za kibidmu yaliyo nchini, yatusaidie sisi wananchi masikini wa nchi hii waishio Utegi-Rorya.

Msaada tunaomba kwenu ni kutusaidia kupaza sauti, ili Rais wa JMT mwanamama Dr. Samia Suluhu Hassan haweze kuingilia kati hili suala linaloendelea Utegi Farm,
raia tunaomba tuachiwe Utegi Farm, leo hii tunaishi kwa wasiwasi bila hatima yetu sisi wananchi tunaoishi karibu na Utegi Farm.

Utegi Farm isiuzwe, raia tunachwe tuishi kama tulivyokuwa tunaishi tangu nchi ipate uhuru 1961. unaondoa wananchi kutoka katika vijiji vyao unawapeleka wapi?, Mama Samia tusaidie kwakweli!!
 
una akili wewe? majimaji uprising waliwaomba wajeruma wawasaidie? maumau war waliwaomba waingereza wawape ardhi yao? no good at easy mjomba.
 
una akili wewe? majimaji uprising waliwaomba wajeruma wawasaidie? maumau war waliwaomba waingereza wawape ardhi yao? no good at easy mjomba.
Mjomba CCM si ni ya wanyonge wa nchi hii? Hivyo tunaomba watupiganie sisi wapiga kura yao masikini, tutalima wapi? maisha yenyewe ni kuunga unga jamani tuachieni utegi farm
 
Mugabe aliwafukuza wazungu kwenye mashamba nchi ikawa masikini zaidi, hilo shamba liuzwe tu muwe vibarua mpate mkate
 
Back
Top Bottom