Kwanini Wanajiita CHAWA na hawataki kuitwa Wafuasi au hata Wapambe
Ujue hilo Neno CHAWA limeambatana na Ushirikina mwingi wa kinyota
Fanya Utafiti utagundua Mwanasiasa anopokuwa na Ongezeko la...
Wakati viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali ya CCM wakishindana kumtukana na kumloga, Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atakutana na Watanzania walio...
Kumbuka Nabii Angel wa Zimbabwe yuko nchini. Juzi alionekana Clouds media akihojiwa. Huyu ni yule wa scandal ya Gold Mafia ya Zimbabwe.
Swali ni je, kaja kufanya nini? Maana huyu ni mzoefu wa...
Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi
Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world
Watu...
Daktari wa Kituo cha Afya Tinde Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijni Josephine Otieno, akiwa amepiga Magoti kuomba msamaha kwa niaba ya Wauguzi wa kituo hicho, ambao wamekuwa wakituhumiwa...
Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line...
Sisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu...
Salamu wanaJF.
Hhivi karibuni kumeibuka mpango wa serikali wa MATOKEO MAKUBWA SASA (BIG RESULT NOW) swali langu hivi serikali huwa inafanyaga tathmini ya mipango yake kweli hapa kati tena...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:
1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)...
Ndugu zangu watanganyika,
Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika,
Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika,
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga...
Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa...
Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.
Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa...
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano...
Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) akiwa anaendelea na ziara yake nchini Indonesia, ametembelea Chuo Cha Diplomasia cha Indonesia.
Waziri Tax...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa upendo mkubwa, unyenyekevu, uzalendo kwa Taifa langu napenda kuwaambia watanzania wenzangu kuwa Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Rais wetu katika kuliongoza Taifa...
NAIBU WAZIRI KHAMIS CHILLO AHIMIZA WANACHAMA WA SADC KUWA NA SAUTI YA PAMOJA
Tanzania imezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushirikiana katika...