Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Basi Pilato akamuuliza Yesu " Hujui ya kuwa mimi nina Mamlaka ya Kukufunga nami nina Mamlaka ya Kukufungua"? Yesu akamjibu, " Usingekuwa na Mamlaka hayo kama usingeyapata kutoka juu" Hivyo...
3 Reactions
12 Replies
990 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia TANROADS imesaini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Mnivata – Newala – Masasi (km 160) kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa daraja la Mwiti...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania mbunge huyo kipindi azimio la kupitisha mkataba wa bandari hakuongea kitu chochote niliona alikaa kimya hadi muda kuisha , najiuliza au alichangia azimio hilo kwa maandishi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema. Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko...
1 Reactions
5 Replies
849 Views
Kama ni Waarabu Tanganyika ndio wako Wengi kuliko Zanzibar hivyo tatizo siyo Mwarabu Shida inayoonekana Miradi mingi ya kimkakati kuelekezwa Falme za Kiarabu yaani sawa na kuweka Mayai yote...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo...
14 Reactions
61 Replies
7K Views
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie. Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida. Pia, amewataka Waziri...
53 Reactions
227 Replies
17K Views
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!? Mwanasiasa ni binadamu...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi? Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Benjamin William Mkapa katika hotuba ya uzinduzi wa kitabu chake alikiri kuwa, Moja ya kosa alilojutia ni suala la Ubinafsishaji. nanukuu kauli yake; "Nikiri kuwa moja kati ya kitu kinachoniuma...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Boss ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi Tuachane na hayo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe, Laingwanan, Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Poleni kwa kazi wakuu hapa ndani, Toka mkataba/ makubaliono ya URT na DUBAI uvuje kumekuwa na kelele nyingi sana mitandaoni hadi mtaani. Kuna wale wanao elewa nini kina zungumzwa na kujadiliwa na...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kupitia muswada wa marekebisho ya sheria ya fedha na kodi. Kodi na Tozo ambazo si rafiki katika mazingira ya kibiashara zimeondolewa na kufutwa kabisa. Kodi ya Store ni miongoni mwa kodi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi ni chama Tawala na kikongwe hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa kuzingatia ukongwe wake pengine ungependa kushauri ama kutoa maoni yako kwa namna ya Chama hicho kiendelee...
0 Reactions
9 Replies
904 Views
Back
Top Bottom