Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa.
Anayejua anijuze...
Hayo magari yalikuwa ya nani?!
Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?!
Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?!
Kwa nini Ikulu ya...
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona na jambo...
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan...
Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga.
Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa...
Picha: Benard Membe
Kwa kawaida Hawa watu walioshika nyanja za juu za uongozi na wakagombea urais Huwa Wana miguso katika jamii.
Sasa Uzi huu utakuwa kwa ajili ya kumbukumbu ya Membe.
Kati ya...
Natamani tujikumbushe baadhi ya matukio yenye ukakasi yaliowahi kutikisa umma wa watanzania na kupelekea serikali kutikisika huko nyumba..
Tanzania ingeweza kuwa mbali sana kiuchumi ikiwa...
Hakuna Rais wa JMT kutokea CCM atakayekubali kuvunja Muungano au kufuta Mbio za Mwenge
Labda pale atakapokuja Rais wa kutokea Vyama vya Upinzani mwenye Misimamo kama Rev Mtikila RIP
Mlale unono!
Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amepokea ripoti ya majadiliano kati ya serikali na Wafanyabiashara wa Kariakoo kutoka kwa Tume iliyoundwa ili kutatua mgogoro...
NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala...
Rais Samia ametoa tsh Milioni 10 kwa Wamachinga kwa ajili ya Kujenga ofisi zao
Katibu mkuu wa Shirikisho la Wamachinga mh Venatus Magayane amesema Rais Samia ametoa Kiwanja chenye hati na tsh...
Djibouti ni taifa dogo masikini lisilo na rasilimali zozote ambalo uchumi wake unategemea bandari kwa asilimia 80 kutokana na kuwa katika eneo la kimkakati la mlango wa Red Sea na Ghuba ya Aden...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Suleiman Jaffo akiwa katika ziara Mkoani Ruvuma katika Mkaa ya Mawe ili kujionea hali halisi ya utunzaji wa mazingira amesema biashara ya Makaa ya Mawe...
Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa.
Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za...
Wakati Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kikijipambanua kupitia sakata la Bandari kumtetea Rais Samia kwa misingi ya Uzanzibari, Kiongozi wa chama hicho Ndugu Zitto ametumia mwanya huo wa kimsimamo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa...
Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi.
Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote.
Msaada jamani ili tupate ufahamu.
---
Abdulrahman...
Nchi kuwa ndogo kieneo haimaanishi Watu wake pia Wana fikra ndogo
Israel ina ukubwa gani lakini ndio Wanaongoza Dunia yenye mabilioni ya Wahindi na Wachina
Je, unazijua Nchi ya Vatican...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.