Daktari Mkuu wa kituo cha afya Josephine Otieno (AMO) ampigia magoti Mwenyekiti wa CCM kumuomba msamaha

Olmost

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
337
439
Daktari wa Kituo cha Afya Tinde Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijni Josephine Otieno, akiwa amepiga Magoti kuomba msamaha kwa niaba ya Wauguzi wa kituo hicho, ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa utoaji wa lugha chafu za Matusi kwa Wagonjwa pamoja na kuwafanyia ubaguzi wa Kikabila, kwenye mkutanno wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Solwa, Ahmed Salum akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa.

IMG_20190813_110037.jpeg
 
Walimu, manesi na watumishi wengine wa umma hutumiwa kwenye chaguzi, hupewa fedha nyingi kusimamia, lakini pia kwa maslahi ya CCM.

walimu na manesi huiba kura, kupotosha wapiga kura wa vijijini na kuharibu kura za wapinzani.

walimu na manesi wakishamaliza kuiba huwa kama kondom (pepeta) iliyotumika, kwani hutupwa kusubiri uchaguzi unaofuata.

hivi hapa pichani ndivyo wanavyofanyiwa walimu na manesi nchi nzima, huyu anawakilisha wengi, yupo yule mhaya aliyechapwa na kanali MNALI.

HAKUNA sheria wala muongozo unaoruhusu haya,
 

Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    64.5 KB · Views: 35
Back
Top Bottom