Taa Ni neno asili la kile kitoacho Mwanga kwa ajili ya Watu Kuona,Au kuelewa kinachoendelea.Taa hii Ndo iliifanya Tanzania ikawa na Lugha moja Nzuri kutoka kwa Wahenga wetu inayounganisha Umoja...
Mwananchi.
Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani.
History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi...
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye...
Mrisho Mpoto
@MrishoMpoto
·
18h
Mnaosema tumeshasaini mkataba na kuuza bandari kwa DP naomba mnijibu;1. Kama tushasaini, mbona DP World hawajaingia bado hapo bandarini? au mshasikia kwamba...
Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila...
Serikali mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campain, wamefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 14 kati ya Fatuma Maganga na Said...
Angalizo.
Wajukuu na watoto wetu baadae wakija kupata akili wakaona rasilimali za ardhi yao kama bandari si yao tena, ardhi si yao tena, mbuga za wanyama hawana umili nazo tena lazima moto uwake...
Waswahili Wana mambo mengi aisee yaani mtu anajiapiza Kabisa Eti Kawawa alikuwa CHAWA wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere
Binafsi nakataa kwa sababu Kawawa ni mmoja wa Wafadhili wa TANU wakati wa...
Hiki alichoongea Mwandishi nguli Mh Kitenge kwamba DP wanatumia Mashine tupu katika kutimiza majukumu yao ya kila siku kinapingana na Maelezo ya Kwenye Mkataba kama kilivyofafanuliwa na Waziri...
Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno.
Kumbe Kuna wabunge...
Barua ya wazi kwa Mh Rais, Dkt. Samia Hassan Suluhu.
Nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh. Rais, unaweza usiione barua hii kutokana na wingi wa majukumu uliyonayo ila...
1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa...
Wakuu mjadala mkubwa sasa hivi ni wa kuhusu dpworld kupewa bandari za Tanganyika. Wako wanaoukubali na wapo wanaoupinga. Kila mtu ana sababu zake.
Kuna taarifa kwamba mkataba haukotolewa rasmi na...
https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade
Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao...
BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya...
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.