Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?

1620135019085.png

Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
 
Duh teh teh
johnthebaptist

Ova
 
Amekula sana keki ya Taifa.
Dau kakaa miaka mingi toka npf hadi nssf lakini huwezi amini hakuna mkristo anaweza kukuletea takwimu kati ya waislam na wakristo wakina nani walikuwa wengi, tz akiajiriwa mkristo ana sifa ila muislam kapendelewa.
Gal 3:1-14
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Ngoja mwanae aje humu patakuwa hapatoshi.
 
Back
Top Bottom