Sakata la Bandari na DP World, kipi hasa kinapingwa?

MR BINGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
1,211
Reaction score
2,602
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili.

Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
 
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP world kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili

Swali langu ningependa kujua kipi HASA kinachopingwa kati ya hivi viwili

1.vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2.uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take :tunatakiwa tuwe makini Sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia Nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO,idara za maji,relief, TTCL n.k)
Kinacho pingwa ni kwa nini apewe muarabu
 
Waliousoma huo mkataba wanaopinga Kwa sababu hauna kikomo Cha muda Yani ni mkataba wa milele
 
Kwa hiyo issue ni vipengele vya mkataba na siyo wawekezaji kama ni hivyo hata mm naunga mkono hoja kuwa vipengele virekebishwe
 
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili.

Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
Hawana hoja ya msingi na hawaeleweki.

Ni chuki tu na vita vya kiuchumi. Hakuna lolote lingine la maana!!
 
Kelele hazikuwa ndogo wakati wazungu wanapewa gesi. Nyerere aliwakatalia wazungu kuchimba madini.
Nyerere alikuwa na serikali ya kijamaa na alijitanabaisha hivyo.... serikali ya Sasa hivi ni capitalist mkuu so tukitumia sera za ujamaa kwenye capitalism world hauoni kama tunafeli mkuu
 
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili.

Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
Mkataba ni wa miaka mingapi?
 
Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu
Nenda ktk mitandao ukasome, ni ngumu kaanza mwanzo
 
Mpaka sasa %kubwa ya wanaopinga hawajui wanacho pinga.

1.Maana Wanasiasa wakisema Mkababa mbovu basi nawao wanasema hivyo.
2.Wanasheria wakisema kuna vipengele vibadilishwe vinatubana nawao wanase hivyo.
3.Viongozi wa Dini wakisema tusimpe mwekezaji nawao wanasema hivyo.
Basitu ilimradi waonelane nawao hawapo nyuma
 
Nyerere alikuwa na serikali ya kijamaa na alijitanabaisha hivyo.... serikali ya Sasa hivi ni capitalist mkuu so tukitumia sera za ujamaa kwenye capitalism world hauoni kama tunafeli mkuu
Nyerere huyo huyo katuchelewesha sana

Ova
 
Kikatiba Bandari ipo kwenye mambo ya Muungano, inakuwaje Zenji isifaidike na huu uwekezaji?
 
Swala la muda wa mkataba liko kwenye vipengele vya mkataba ambapo nimezungumza kipi tunatakiwa tufanye kuhusu vipengele
Mkataba ni wa miaka mingapi kwa mujibu wa hivyo vipengele vilivyo ndani ya mkataba?
 
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili.

Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
mimi nadhani kwa kuwa mkataba waliouleta na kuusign una utata mwingi. basi ni vyema issue nzima ikafa na tuanze upya na siyo na DPW tena. pengine liwe somo kwetu kwamba serikali iwekeze pesa na sisi wenyewe tuendeshe lakini pia tuache kutumia siasa kuendesha shughuli za bandari.
 
Katika wiki mbili hizi zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa juu ya Serikali kuingia mkataba na kampuni ya DP World kutokea Dubai na mvutano huu umepelekea wananchi kupinga vikali makubaliano yoyote kati ya serikali hizi mbili.

Swali langu ningependa kujua kipi hasa kinachopingwa kati ya hivi viwili;
1. Vipengele vilivyo katika mikataba hiyo ya makubaliano
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu

My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
Mkuu hakuna mtanzania hata mmoja aliyeongea kwa ajili ya kupinga huo uwekezaji. Waongeaji wote hakuna mwenye shida na Do world.

Tatizo Ni vipengele vya mkataba.
a..Mkataba hauna unkomo. Hivyo haijulikani wanakuja kukaa miaka mingapi

Nb:Waziri Mbarawa anasema Hadi shughuli za bandari zitakapoisha. Ni kituko!

b.. kingine:ikiwa itatokea shughuli au fursa yoyote ktk shughuli za bandari Basi watatarifiwa wao kwanza. Maana yake Watanzania hatuwezi kufanya lolote ktk Hiyo bandari Bali kwa ruhusa yao. Ni km Sasa Ni mali yao.

C.. mkataba hauzungumzii fursa za ajira kwa Watanzania.

D... Kiasi Cha fedha kinachowekezwa nk

Nb:kumbuka Hawa Dubai ndiyo washindani wetu wakuu ktk sekta ya bandari.
 
2. Uwekezaji wowote kutoka nje ya nchi katika bandari yetu
Sijasoma hayo mengine uliyoandika huko chini, kwa sababu ya upotoshaji ulio wazi uliouweka hapa, ni wazi huna lolote la maana la kueleza.
Ni mpiga 'propaganda' tu kama hao wengine wanaojazwa tumbo ili wanyofoe ubongo wao kichwani.
 
Back
Top Bottom