Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la mgogoro wa bandari huku akijua kuwa Hotuba iliyowasilishwa na Dk. Mwigulu Nchemba inayojadiliwa na Bunge hakuna hata mstari mmoja unaozungumzia mkataba wa DP na Tanzania.
Hotuba ya Mwigulu haina mstari hata mmoja unaozungumzia majadiliano au suala la uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam sasa yeye Subira Mgalu amepatawa wapi jeuri ya kujadili jambo ambalo sio sehemu ya mjadala na halimo kwenye hotuba ya Serikali.
Prof. Tibaijuka alikuwa Marekani miaka ya 2006 ambapo DPW ilikwenda kufanya kazi na Marekani na kukataliwa na Bunge la Marekani sasa alichopotosha ni nini, Je Subira Mgalu unaifahamu zaidi DPW kuzidi Prof. Tibaijuka?
Subira unafahamu kuwa Kanuni za Bunge zinakataza kumshambulia mtu ambaye hayuko bungeni wewe umefanya kosa hilo kumnufaisha nani unajua madhara yake?