Watanzania tuendelee kumuamini na kumuunga mkono Rais wetu mwenye Hofu ya Mwenyezi MUNGU

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu watanzania,

Kwa upendo mkubwa, unyenyekevu, uzalendo kwa Taifa langu napenda kuwaambia watanzania wenzangu kuwa Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Rais wetu katika kuliongoza Taifa letu.Rais wetu Ni mzalendo Sana, Ni kiongozi aliyelibeba Taifa letu katika kifua na moyo wake. Ni kiongozi aliyeliweka Taifa letu juu ya maslahi yake binafsi, ni kiongozi anayelipenda kwa dhati ya moyo wake Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla.

Hii inadhihirishwa na maneno, kauli na matendo Yake Tangia aingie madarakani,ambapo muda na wakati wote amekuwa akisisitiza juu ya maslahi ya kulitetea na kulipigania Taifa letu,ndio maana wakati fulani amewahi kutamka hadharani ya kuwa hapendi kusifiwa Wala kutukuzwa yeye Kama yeye Bali anapenda Taifa letu Ndio lipewe kipaombele.

Wakati wote Tumeona Rais wetu akiwasihi watendaji wote waliopo chini yake kufanya kazi kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu,kuepuka vitendo vya Rushwa na kuzingatia viapo vyao vya kiutumishi.

Watanzania Tumwamini Rais wetu kuwa hawezi katu na kamwe kuweka saini yake Wala mkono wake Wala kalamu yake katika karatasi au kitabu au eneo lolote lile analoona kuwa litahatarisha maslahi ya Taifa letu.mahali atakapo weka saini yake au kutoa baraka zake Ni mahali ambapo Kama Taifa Ni lazima tufaidike na kunufaika na fursa za kiuchumi na kibiashara.

Wakati wote wa utumishi wake tangia ngazi za chini sote tunafahamu Rekodi ya Rais wetu kiutendaji ,kiuzalendo na kiuchapakazi ilivyo Safi na yakuvutia Hakuna mahali alikopita Rais wetu kulikokwenda means,hakuna ambako hakuleta matokeo chanya,Hakuna ambako hakuleta matunda,Hakuna ambako hakukumbukwa kiutendaji na kiuchapa kazi,Hakuna ambako watu hawakutamani aendelee kuwa kiongozi wao.

Rais Samia Ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu katika moyo wake,Ni mwenye moyo wa uzalendo,Ni mwenye moyo na mawazo ya kujuwa kuwa uongozi Ni utumishi kwa watu na kiongozi unapaswa kuleta matumaini kwa watu wakati wote,anafahamu ya kuwa Rasilimali zetu tulizojaliwa na Mwenyezi MUNGU zinapaswa kutumika katika kuwaondolea umaskini watanzania,zinapaswa kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania,ndio maana Rais wetu na mama yetu mama Samia yupo makini Sana katika Rasilimali zetu ili ziwe baraka kwa watanzania wote.

Rais wetu mama Samia hawezi kuuza Rasilimali zetu,Wala kuharibu Rasilimali zetu,Wala kuzitoa Kama sadaka kwa mtu yeyote yule.hawezi kufanya hivyo Rais wetu,ndio sababu amekuwa akiteu washauri wabobezi katika kila eneo ili kuhakikisha ya kuwa kila kitakachofanyika kinakuwa na tija kwa Taifa letu kiuchumi na kiusalama.

Tumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono, Rasilimali zetu zipo katika mikono salama na Hakuna itakayoharibika mikononi mwake katika vyote na yote tulivyo mkabidhi kisheria Kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Rais mwenye hofu ya Mungu anauzaje Bandari? Na Loliondo
Bandari yetu haijauzwa na hawezi kuuza Bandari yetu maana Ni sehemu ya usalama wa Taifa letu, kuuza Bandari Ni sawa na kuuza nchi hivyo Rais wetu hawezi kuuza nchi na Taifa analoliongoza maana Ni sawa na kugawa mamlaka yake ya Urais pamoja na Uhuru wetu Kama Taifa.
 
Bandari yetu haijauzwa na hawezi kuuza Bandari yetu maana Ni sehemu ya usalama wa Taifa letu,kuuza Bandari Ni sawa na kuuza nchi hivyo Rais wetu hawezi kuuza nchi na Taifa analoliongoza maana Ni sawa na kugawa mamlaka yake ya Urais pamoja na Uhuru wetu Kama Taifa.

Bado hujaelezea why tumuombee? Wananchi ndio wenye nchi, si viongozi. Wananchi wasikilizwe
 
Mkataba wa DP una faida zipi?

Kwa nini Bandari ziwe za Tanganyika pekee? Zanzibar hawataki hizo faida mnazotueleza?
 
Mkataba wa DP una faida zipi?

Kwa nini Bandari ziwe za Tanganyika pekee? Zanzibar hawataki hizo faida mnazotueleza?
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa upendo mkubwa , unyenyekevu,uzalendo kwa Taifa langu napenda kuwaambia watanzania wenzangu kuwa Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Rais wetu katika kuliongoza Taifa letu.Rais wetu Ni mzalendo Sana,Ni kiongozi aliyelibeba Taifa letu katika kifua na moyo wake ,Ni kiongozi aliyeliweka Taifa letu juu ya maslahi yake binafsi,Ni kiongozi anayelipenda kwa dhati ya moyo wake Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla.

Hii inadhihirishwa na maneno, kauli na matendo Yake Tangia aingie madarakani,ambapo muda na wakati wote amekuwa akisisitiza juu ya maslahi ya kulitetea na kulipigania Taifa letu,ndio maana wakati fulani amewahi kutamka hadharani ya kuwa hapendi kusifiwa Wala kutukuzwa yeye Kama yeye Bali anapenda Taifa letu Ndio lipewe kipaombele.

Wakati wote Tumeona Rais wetu akiwasihi watendaji wote waliopo chini yake kufanya kazi kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu,kuepuka vitendo vya Rushwa na kuzingatia viapo vyao vya kiutumishi.

Watanzania Tumwamini Rais wetu kuwa hawezi katu na kamwe kuweka saini yake Wala mkono wake Wala kalamu yake katika karatasi au kitabu au eneo lolote lile analoona kuwa litahatarisha maslahi ya Taifa letu.mahali atakapo weka saini yake au kutoa baraka zake Ni mahali ambapo Kama Taifa Ni lazima tufaidike na kunufaika na fursa za kiuchumi na kibiashara.

Wakati wote wa utumishi wake tangia ngazi za chini sote tunafahamu Rekodi ya Rais wetu kiutendaji ,kiuzalendo na kiuchapakazi ilivyo Safi na yakuvutia Hakuna mahali alikopita Rais wetu kulikokwenda means,hakuna ambako hakuleta matokeo chanya,Hakuna ambako hakuleta matunda,Hakuna ambako hakukumbukwa kiutendaji na kiuchapa kazi,Hakuna ambako watu hawakutamani aendelee kuwa kiongozi wao.

Rais Samia Ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu katika moyo wake,Ni mwenye moyo wa uzalendo,Ni mwenye moyo na mawazo ya kujuwa kuwa uongozi Ni utumishi kwa watu na kiongozi unapaswa kuleta matumaini kwa watu wakati wote,anafahamu ya kuwa Rasilimali zetu tulizojaliwa na Mwenyezi MUNGU zinapaswa kutumika katika kuwaondolea umaskini watanzania,zinapaswa kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania,ndio maana Rais wetu na mama yetu mama Samia yupo makini Sana katika Rasilimali zetu ili ziwe baraka kwa watanzania wote.

Rais wetu mama Samia hawezi kuuza Rasilimali zetu,Wala kuharibu Rasilimali zetu,Wala kuzitoa Kama sadaka kwa mtu yeyote yule.hawezi kufanya hivyo Rais wetu,ndio sababu amekuwa akiteu washauri wabobezi katika kila eneo ili kuhakikisha ya kuwa kila kitakachofanyika kinakuwa na tija kwa Taifa letu kiuchumi na kiusalama.

Tumwamini Rais wetu na Tuendelee kumuunga mkono, Rasilimali zetu zipo katika mikono salama na Hakuna itakayoharibika mikononi mwake katika vyote na yote tulivyo mkabidhi kisheria Kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mzanzibari naona ameamua kuuza raslimali za wajinga wa Tanganyika. Nyie chawa ndio mumuunge mkono maana mnafaidika binafsi.
 
Weee ukimuunga inatosha sisi wengine hapana

Anayotufanyia wala sihitaji kumuunga Mkono
 
Tanzania Ni moja, watanzania Ni wamoja na Taifa letu Ni moja Usituletee ubaguzi hapa
Kama ww ni mtu wa Tanganyika kagombee uongozi huko Zanzibar, ukikubaliwa uje ulete mrejesho wa huo umoja. Hapo ndio tutajua kuna ubaguzi kwa vitendo ama la.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom