mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Maandamano makubwa mjini
Nchi hii ngumu sana
Haifinguki
Lazima waachwe na vikundi vya hamasa hapo mjini vitatakiwa kushiriki. Mwigulu gulugulu atakodi boda boda hata buku kusupport maabdamano ya kishindo. Januari atatoa jiko la gesi kwa kila muandamanaji. Bila shaka malipo ya buku 7 yatakiwepo piaJe hao wataachwa, hawatapigwa virungu kweli?
Safari ya kuitoa bure Tanganyika yetu hapa ndipo ilipoanzia.