https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade
Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao...
BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya...
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.
Nyerere aliwahi kuulinganisha na kula nyama ya binadamu. Ailaye haachi. Sijui ukweli wa dhana hii.
Hata hivyo...
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.
Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.
Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania
Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara...
Kwa kuwa hatuna imani na tume huru ya ccm tunatakiwa kufanya jambo moja kati ya haya mawili.
Mosi kususia uchaguzi wenyewe kwa kutofika ktk kampeni zao na kuto enda kupiga kura acha wajiibie...
Wadau nawasabahi.Kuna JAMBO nataka nijue juu ya UPATIKANAJI wa Mwekezaji DP WORLD ktk BANDARI yetu.
Je Serikali ilitangaza TENDA ya kutafuta Mwekezaji? Mbona Wananchi hatukuisikia wala kuisoma...
Katika utafiti wangu juu ya chanzo cha muungano wa Tanganyika na Zanzibar na mapinduzi 'matukufu' au matukutu au mavamizi ya mwaka 1964, nilibahatika kusoma andiko la mtafiti James R Brennan lenye...
Nimewahi kumsikia marehemu baba wa Mwalimu Nyerere akisema;
MTU AKIAMUA KUKUAMBIA UONGO HUKU ANAJUA UNAJUA HUI NI UONGO ANAKUDHADAU.
Jee kwa uongo huu wa DPW mnaotumia nguvu kubwa kutueleza...
Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za...
Wakuu,
Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana.
Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi...
Serikali yetu ilisaini mikataba 17 na Dubai tumeonyeshwa mmoja tu wa bandari tumehamaki. Ngojeni hiyo 16 nayo ije mnaweza kukuta TANESCO, TTCL, TPDC, TEMBO NIKEL, TWIGA, TANAPA, NDC nayo tumewapa...
Suala la kuuza au kutouza nafaka nje.
Yaani niseme kwamba; kulingana na kiwango kidogo cha chakula tulichonacho, sikubaliani na wale wanaotaka tuuze chakula nje. Ndugu zangu msifikiri jambo hili...
Jumuiya ya Wasaga nafaka nafaka yaani Maize Millers ya Kenya wamepinga hatua ya Serikali ya Tanzania kukataza wanunuzi kwenda Kununua Mazao Moja kwa Moja kwa Wakulima.
Wizara ya Kilimo iliweka...
Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa.
Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na...
Tangu kashfa mbaya kabisa ya maafisa wa Serikali kubainika wamesaini mikataba ya hovyo unaotarajia kuzipora bandari zote za Tanganyika, wahusika wamekuwa wanahangaika kuutetea uovu wao wakitoa...
Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.