Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa kwa mkoa kupongeza juhudi za mama.
Najiuliza tukiwa pamoja na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas, KULIKONI? Au uzalendo wao umezidi kwa nchi kuliko chama au ni maslahi yao kuguswa na hawataki kujulikana wazi wako upande upi au hawataki kumuudhi bosi wao au wameungana na Mwanasheria Mkuu wa serikali kufunika kombe mwanaharamu apite.
Maswali ni mengi kuliko majibu.