Kwanini Profesa Kabudi anaandamwa?

Kasanzu The Great

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
309
222
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?

Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo tangu Enzi za utawala Wa Roma. Ndio maana WANACCM Leo hawawezi kumpinga mheshimiwa Rais kwa lolote mpaka atakapomaliza utawala wake.

Mwanasiasa yeyote atakupa Tia sifa kama unapenda kutukuzwa, atakupa hisani kama unapenda hisani, atawajibika kama unapenda uwajibikaji.

Kabudi Enzi Magufuli aliwajibika kwenye mikataba ya madini, kwenye shares za serekali katika makampuni mbalimbali nk kwasababu uelekeo Wa Serekali ulikuwa kupambana na mikataba yote ya hovyo na hawakuona aibu wala muhali kuwa Piga mkwara wawekezaji wote wenye mikataba ya kinyonyoji. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu serekalini kwasababu alionekana kama nembo na alama ya uzalendo katika utawala Wa JPM.

Kwasasa Ndani ya serekali Hana nguvu wala ushawishi tena, meza imepinduka na wenye nguvu kwasasa ni Akina January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu. Hawa ndio alama na Icon Ndani ya serekali. Uelekeo Wa wanasiasa kwasasa ni kuwapa sapoti Hawa, kwenda kinyume nao ni kupunguza vema ya kisiasa Ndani ya Chama na serekali.

Ni dhahiri kuwa Prof. Kabudi Leo ukimfuata hadharani ukamuuliza jambo lolote la Enzi za utawala Wa JPM hawezi kulisifia hadharani kwasababu watu Hawa ambao ndio nembo ya utawala kwasasa they were not in good terms with Late JPM. Ili kuepuka kukera yuko tayari kusema kuwa mchakato Wa Makinikia na Mirabaha ya madini ilikuwa bisheni, Suala la shares za serekali. Pale Airtel nk halikuwa na maana, ununuzi Wa ndege ulikuwa uamuzi Wa hovyo, ujenzi Wa SGR ulikosa dira nk. Why? Kanuni ya kuwa msaidizi Wa kisiasa ni kucheza na binti la. Muziki.

Professor Kabudi aachwe apumzike, alifanya kazi nzuri Sana, kwasasa analinds heshima yake na heshima ya serekali. Hataendelea kutoa maoni yake kulingana na falsafa ya mtawala husika.
 
Kwanini CCM inauza bandari zote za Tanganyika? Nashauri DP world ipewe kazi ya uzoaji taka ili wananchi waishi kwa amani
Acha uzwauzwa hakuna bandari iliyouzwa. Jiamni Dunia hii ni ya ushindani. Usipoingia kwenye ushindani you will perish (survival of the fittest)
 
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?

Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo tangu Enzi za utawala Wa Roma. Ndio maana WANACCM Leo hawawezi kumpinga mheshimiwa Rais kwa lolote mpaka atakapomaliza utawala wake.

Mwanasiasa yeyote atakupa Tia sifa kama unapenda kutukuzwa, atakupa hisani kama unapenda hisani, atawajibika kama unapenda uwajibikaji.

Kabudi Enzi Magufuli aliwajibika kwenye mikataba ya madini, kwenye shares za serekali katika makampuni mbalimbali nk kwasababu uelekeo Wa Serekali ulikuwa kupambana na mikataba yote ya hovyo na hawakuona aibu wala muhali kuwa Piga mkwara wawekezaji wote wenye mikataba ya kinyonyoji. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu serekalini kwasababu alionekana kama nembo na alama ya uzalendo katika utawala Wa JPM.

Kwasasa Ndani ya serekali Hana nguvu wala ushawishi tena, meza imepinduka na wenye nguvu kwasasa ni Akina January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu. Hawa ndio alama na Icon Ndani ya serekali. Uelekeo Wa wanasiasa kwasasa ni kuwapa sapoti Hawa, kwenda kinyume nao ni kupunguza vema ya kisiasa Ndani ya Chama na serekali.

Ni dhahiri kuwa Prof. Kabudi Leo ukimfuata hadharani ukamuuliza jambo lolote la Enzi za utawala Wa JPM hawezi kulisifia hadharani kwasababu watu Hawa ambao ndio nembo ya utawala kwasasa they were not in good terms with Late JPM. Ili kuepuka kukera yuko tayari kusema kuwa mchakato Wa Makinikia na Mirabaha ya madini ilikuwa bisheni, Suala la shares za serekali. Pale Airtel nk halikuwa na maana, ununuzi Wa ndege ulikuwa uamuzi Wa hovyo, ujenzi Wa SGR ulikosa dira nk. Why? Kanuni ya kuwa msaidizi Wa kisiasa ni kucheza na binti la. Muziki.

Professor Kabudi aachwe apumzike, alifanya kazi nzuri Sana, kwasasa analinds heshima yake na heshima ya serekali. Hataendelea kutoa maoni yake kulingana na falsafa ya mtawala husika.
Kama yeye ni mwanaume kweli ajiuzulu kama Nyalalandu alivyojiuzulu enzi za mwendazake
 
Ni wajinga pekee ndio wataomuandama Prof. Kabudi, haiwezekani mtu atoe bandari kwa wajomba zake, lawama apelekewe Kabudi.
Nani kamlaumu Kabudi? Naona mnamuamzishia uzi mtu ambaye keshadahaulika kumpa relevancy
 
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?

Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo tangu Enzi za utawala Wa Roma. Ndio maana WANACCM Leo hawawezi kumpinga mheshimiwa Rais kwa lolote mpaka atakapomaliza utawala wake.

Mwanasiasa yeyote atakupa Tia sifa kama unapenda kutukuzwa, atakupa hisani kama unapenda hisani, atawajibika kama unapenda uwajibikaji.

Kabudi Enzi Magufuli aliwajibika kwenye mikataba ya madini, kwenye shares za serekali katika makampuni mbalimbali nk kwasababu uelekeo Wa Serekali ulikuwa kupambana na mikataba yote ya hovyo na hawakuona aibu wala muhali kuwa Piga mkwara wawekezaji wote wenye mikataba ya kinyonyoji. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu serekalini kwasababu alionekana kama nembo na alama ya uzalendo katika utawala Wa JPM.

Kwasasa Ndani ya serekali Hana nguvu wala ushawishi tena, meza imepinduka na wenye nguvu kwasasa ni Akina January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu. Hawa ndio alama na Icon Ndani ya serekali. Uelekeo Wa wanasiasa kwasasa ni kuwapa sapoti Hawa, kwenda kinyume nao ni kupunguza vema ya kisiasa Ndani ya Chama na serekali.

Ni dhahiri kuwa Prof. Kabudi Leo ukimfuata hadharani ukamuuliza jambo lolote la Enzi za utawala Wa JPM hawezi kulisifia hadharani kwasababu watu Hawa ambao ndio nembo ya utawala kwasasa they were not in good terms with Late JPM. Ili kuepuka kukera yuko tayari kusema kuwa mchakato Wa Makinikia na Mirabaha ya madini ilikuwa bisheni, Suala la shares za serekali. Pale Airtel nk halikuwa na maana, ununuzi Wa ndege ulikuwa uamuzi Wa hovyo, ujenzi Wa SGR ulikosa dira nk. Why? Kanuni ya kuwa msaidizi Wa kisiasa ni kucheza na binti la. Muziki.

Professor Kabudi aachwe apumzike, alifanya kazi nzuri Sana, kwasasa analinds heshima yake na heshima ya serekali. Hataendelea kutoa maoni yake kulingana na falsafa ya mtawala husika.
Na mimi nina swali; kwanini nape, mwigulu na makamba wanaandamwa sana?!!!! Hata mleta mada, uliyehoji kuhusu kuandamwa/kuchukiwa kwa mtu bila sababu za kueleweka, umepotoka na kuonyesha kuwaandama na kuwachukia hao watu (nape, mwigulu, makamba) wakati huo huo. Yaani unachojaribu kukipinga wewe unacho mpaka kinapwakuka!!
 
Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?

Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo tangu Enzi za utawala Wa Roma. Ndio maana WANACCM Leo hawawezi kumpinga mheshimiwa Rais kwa lolote mpaka atakapomaliza utawala wake.

Mwanasiasa yeyote atakupa Tia sifa kama unapenda kutukuzwa, atakupa hisani kama unapenda hisani, atawajibika kama unapenda uwajibikaji.

Kabudi Enzi Magufuli aliwajibika kwenye mikataba ya madini, kwenye shares za serekali katika makampuni mbalimbali nk kwasababu uelekeo Wa Serekali ulikuwa kupambana na mikataba yote ya hovyo na hawakuona aibu wala muhali kuwa Piga mkwara wawekezaji wote wenye mikataba ya kinyonyoji. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu serekalini kwasababu alionekana kama nembo na alama ya uzalendo katika utawala Wa JPM.

Kwasasa Ndani ya serekali Hana nguvu wala ushawishi tena, meza imepinduka na wenye nguvu kwasasa ni Akina January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu. Hawa ndio alama na Icon Ndani ya serekali. Uelekeo Wa wanasiasa kwasasa ni kuwapa sapoti Hawa, kwenda kinyume nao ni kupunguza vema ya kisiasa Ndani ya Chama na serekali.

Ni dhahiri kuwa Prof. Kabudi Leo ukimfuata hadharani ukamuuliza jambo lolote la Enzi za utawala Wa JPM hawezi kulisifia hadharani kwasababu watu Hawa ambao ndio nembo ya utawala kwasasa they were not in good terms with Late JPM. Ili kuepuka kukera yuko tayari kusema kuwa mchakato Wa Makinikia na Mirabaha ya madini ilikuwa bisheni, Suala la shares za serekali. Pale Airtel nk halikuwa na maana, ununuzi Wa ndege ulikuwa uamuzi Wa hovyo, ujenzi Wa SGR ulikosa dira nk. Why? Kanuni ya kuwa msaidizi Wa kisiasa ni kucheza na binti la. Muziki.

Professor Kabudi aachwe apumzike, alifanya kazi nzuri Sana, kwasasa analinds heshima yake na heshima ya serekali. Hataendelea kutoa maoni yake kulingana na falsafa ya mtawala husika.
Umenena vyema bila chembe ya unafiki!
 
Hawezi kuachwa apumzike amefanya mengi mabovu kusapoti utawala wa kidhalimu wa Magufuli tena anapaswa kuwaomba radhi watanzania.
 
Wanaomwandama ni ule ukoo wa "mwovu shetani" waliopanga na kushiriki hili deal la kuiingiza Taifa ktk kashfa kubwa na ya aibu ambayo kama ingekuwa China au Iran shoka lingekuwa halali yao!
 
Back
Top Bottom